Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kuna mambo ukiyatazama kwa utulivu unabaki kuguna tu moyoni maana ukifungua kinywa unaweza ukakufuru. Kuna watu wanazaliwa mpaka wanakuwa kitu kinachoitwa shida au umaskini wanausoma kwenye Nyambari Nyangwine tu.mkuuu umepangilia hadi nimeogopa 😂😂😂😂
Ni watu ambao uthubutu wao uko close to perfect na chochote atachofanya atafanikiwa tu maana resources zote ako nazo from the start. Hata akianzisha usindikaji wa asali leo hii ataipromote na atauza tu na kuwa tajiri mkubwa ndani ya miaka michache.