Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Kuna vichwa vya watoto wa kitajiri vimeshindikana labda tu hujapata bahati kujuana nao au kuwasikia.

Kuna wengine wanakula unga, kuna wengi wanaiba wanakimbilia nje, wengine walevi na hawana time ya kufanya kazi

Ila kimoja ulichosema. Mtoto ambaye kwao kuna connection hata akiwa na ubongo wa kusoma nusu kijiko na akatoboa hadi chuo. Kufanikiwa ni nje nje
Ale unga, avute bangi na kubwia mipombe kama kwao zipo zipo tu, hizo starehe zote kama huna hela unaishia pabaya.

Ndio hvyo penye miti hapana wajenzi
 
Hahahahaha si dogo alitaka aonekane hero 😂😂😂 atakuwa kajifunza kitu
Alikua anasema za mzee ni zakwake acha nitafute zangu kwa haso zangu, maisha yakamwambia we mbwa tutakuua na jua lilivyo kali akaona bora arudishe mpira kwa kipa.
 
Kila mtu hapa duniani analo kusudi lake la kuwepo,hivyo ni vyema kulitambua kusudi lako na kuliishi ili uwe na maisha ya amani kwani usipojua utateseka sana na makusudio ya watu !
 
Wale wanaojiona ni vijana wa kisasa zaidi wao wanawaza kununua benz c-class(W-203) au bmw 3 series(E90-E93) shughuli imeisha.
 
Halafu watu hawajielewi kwasababu ya tamaa zao.

Matajiri wengi walianzia kwenye msingi mzuri.

Unakuta baba au babu yako alianzia sehemu akafikia stage fulani ya maisha na wewe unaanzia hapo.

Sisi kila anayezaliwa anaanza upya.

Tena unazaliwa unakuta baba yako bado amepanga chumba kimoja Kwa Aziz Ally.

Maana yake, ndogo zako lazime ziwe kuboresha Maisha yako yasiwe Kama ya wazazi wako pamoja na kuboresha Maisha ya kwenu ukiweza.

Unless uwe na talent ikuoe booster.

Lakini wengi wetu tunaotegemea Ualimu au ujasiriamali wa duka la mangi au kuchoma chipsi, ndogo kubwa utabebeshwa sembe, utafirwa au utatembea sana kwa waganga na kila siku utawaza stori za paka mweupe na rupiah za wahindi.
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom