Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Ale unga, avute bangi na kubwia mipombe kama kwao zipo zipo tu, hizo starehe zote kama huna hela unaishia pabaya.

Ndio hvyo penye miti hapana wajenzi
 
Hahahahaha si dogo alitaka aonekane hero 😂😂😂 atakuwa kajifunza kitu
Alikua anasema za mzee ni zakwake acha nitafute zangu kwa haso zangu, maisha yakamwambia we mbwa tutakuua na jua lilivyo kali akaona bora arudishe mpira kwa kipa.
 
Kila mtu hapa duniani analo kusudi lake la kuwepo,hivyo ni vyema kulitambua kusudi lako na kuliishi ili uwe na maisha ya amani kwani usipojua utateseka sana na makusudio ya watu !
 
Wale wanaojiona ni vijana wa kisasa zaidi wao wanawaza kununua benz c-class(W-203) au bmw 3 series(E90-E93) shughuli imeisha.
 
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…