Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

Mwambie mama aiweke wazi hiyo mikataba ikiwamo ya kuhamisha Wamasai uone kama nchi hii haina wasomi, sasa kama mkataba unajaziwa chooni kisha unaingia kwenye dream liner usiku wa manane na kusafirishwa hadi Dubai unataka wanasheria waote ndoto kwamba kuna mkataba wa hivyo? Vile tukisema katiba ibadilishwe muwe mnaelewa na pia siyo kwamba watz wanatetea ngono ila clip imevuja binti akifanyiwa ukatili na inaonekana lile tukio halijakugusa kwakuwa siyo dada yako
 
Hayo yote aliyasema akiwa spika na ndio sababu ya yeye kuachiwa ngazi baada ya kusakamwa sana na chura kiziwi akisaidiwa na watz wapumbavu huku wakimshanhilia chura kiziwi kwamba anaupiga mwingi
 
MAZEE YALIYOJICHOKEA ndio yanatuwakilisha sisi vijana ngangari (Vibrant) huku yakiwa yanatiririsha udenda na kusubiri POSHO

Yakifika huko yanapigwa KATAFUNUA na kuchumishwa mboga yanarudi yako hoi, mikataba yote imesombwa na MABEBERU.

Samia aniteue nimuoneshe vile nchi inanyooshwa.

Anicheki hapa @bichwakomwe@gmail.com

Cc: Lucas Mwashambwa Poor Brain cocastic Lamomy Confession
 
Bichwa kila comment yako kuna kitu kipya nagundua an..

Sasa wewe mi naenda kuku report wallah tena 😂😂😂😂😂
 
Nae wale wale enzi za utawala hakuna wakufanya km mimi alikua mieyusho sana akishiriki hujuma tofauti tofauti na kuwaminya upinzani mwache ateseke tu. The angel lies atulie
 
Ndugai bhana!!
Haya ilibidi ayafanye yeye na wenzie akiwa kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
Sasa sahivi hata akisema, nani atamuelewa? Hivi kumbe viongozi wa nchi hii akili zao zinarudi wakishakua nje ya madaraka. Lol
CCM.
 
Mikataba ni uzoefu , hizo A unazitoa wapi ? yaani kijana atoke chuo tu na A umpeleke kweny mikataba kweli?
Mkuu experience is best teacher,Mfano Julius Kambarage Nyerere aka Dr,aka Mwalimu Nyerere kapewa nchi with no professional administration experience except school teacher basics tu. Akalikologa,Nationalization,Vijiji vya ujamaa, muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Vita vya Ukombozi kusini mwa Africa, Vita vya Biafra,Vita ya Kagera,Tazara,Tanzaphilia.Ndio sababu iliofanya Nyerere aganganie 27 years in power kwa sababu hakuwa anefanikiwa in Bold.
 
Aliachia au aliachishwaa? Nweiiii.
Wakati akiwa huko jikoni, alitakiwa kutenda na sio kukemea.
Lilikuwa linaonga madem UDOM hadi dollars 10 nakuwaachia ngwengwe kumbuka wakati huo dollar elfu 10 kodi zetu. Siyo wakumkumbuka tena walimuonya huruma tu kwa mlazimisha ajiuzulu jamaa mwizi. Halafu ndio yeye miongoni hii mikataba yote ya unyonyaji ilipitia Kwame wapinzani kina Mbowe Lissu wakipinga anatoa nje.

King Kong III
 
Si hio tu huyo mchonga meno aka Mwalimu Nyerere licha ya kudhubutu lakini kwa fani za undugu wa wananchi aliuuwa uwezo wa mtu na mtu asikike yeye tu.Ukimleta Tutemeke Sanga Myaru na Elimu ya Nyerere nani alikuwa na elimu sahihi ya kuongoza nchi?
Kwa kifupi Kiongozi?
Majibu ni obvious Mwalimu hakuwa na uwezo kielimu ukilinganisha na mwamba Tutemeke Sanga ikibadi awekwe under village arrest.
Germany know how anamshinda bibi yetu Mwingireza.
 
That why always African people/county we're underdevelopment
 
Hivi vielimu mnavyovipata kwa mjomba UK HAMJUI NI FAKE AND STUPID INCOMPETENT EDUCATION?
NDIO SABABU HAVIWEZESHI KITU.KASOME UPYA HATUTAKI
NONSENSE KNOWHOW.
AKILI NI MALI.
Tujipange upya kama kwenda Israel, China,Germany, Japan na kwinginepo.
 
"Hata saa mbovu kuna muda hua inasema kweli" wale waliompinga kipindi kile sasa hivi sijui wataweka wapi sura zao, atusamehe Sana sisi wakosaji tumekosa Sana tumekosa sisi 😆😆
 
Ndugai bhana!!
Haya ilibidi ayafanye yeye na wenzie akiwa kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
Sasa sahivi hata akisema, nani atamuelewa? Hivi kumbe viongozi wa nchi hii akili zao zinarudi wakishakua nje ya madaraka. Lol

Ogopa MTU mnafiki.
Siô Kwamba Hawana Akili Ila NI wanafiki
 
Bongo ukipata nafasi Piga pita kushoto
Ukijikuta wee ni mzalendo
ria wana kukana
 
Kuwa na A ni jambo moja, imepatikanaje na inatumikaje ni jambo jingine. Jambo la msingi, kama taifa yatupasa tuwe na timu nzuri ya mawakili wazalendo, wenye uzoefu na wenye weledi katika mambo ya sheria.
Watapatikanaje watu wa hivyo wkt wanasiasa na siasa ndo kila kitu
 
Kwani kuna uhusiano wa uzee na kujaza mikataba kwa maslahi!? Ile ni wepesi wa kufikiria na uzalendo jambo ambalo kwa vijana wanaweza sana kuliko wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…