Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...