Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

Ndivyo walivyo huwa wanaoneana wivu wao kwa wao maana wanajuana nani anakula zaidi na zaidi !! Sio kwamba huwa wanaihurumia Nchi na watu wake !! Never Ever !! Wanasihasa wetu ni shida, !!!
Hawa wanasiasa wote ni wanafiki na wa binafsi. Ndugai alikwenda India na mabillioni ya fedha za wananchi je hayo yalikuwa matumizi mazuri ya fedha za umma.?
Wanasema tu lakini hawaishi yale wanayohubiri!!
 
Mungu akulinde baba Ndugai kwa kuwa mkweli
Mwambieni aanze na wagogo wenzake ombaomba waache kabla hajaja kwa Taifa!
Mbona mwendazake alipokuwa akikopa hovyo na kwa siri hakunyanyua mdogo wake kuongea?
Unafiki na uzandiki ni ugonjwa mbaya sana maishani
 
Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.
We nawe bure kweli..mbona serikali inategemea wananchi ili ijiendeshe?..kwanini na yenyewe isitegemewe..hata hujui nini maana ya uwepo wa serikali na kulipwa kodi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndugai alisisitisha vijana wajiajiri leo ni mstaafu atuonyeshe kwa vitendo anavyojiajiri
 
Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.

Exactly, anasema watu wavuje jasho lakini yeye anategemea dezo kwenye maisha yake yote.
 
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania amesisitiza kauli yake ya lazima tuwe watu wa kujitafutia kwa kujibana wenyewe kwa sababu hayupo jirani, ndugu ama shangazi wa kutupa vya bure.

Amesema hayo aliposhiriki Ibada ya ubarikio wa gari la Kanisa mojawapo la Anglikana huko mkoani Dodoma.

Kwa bahati mbaya Ndugai ni baadhi ya watanzania wachache wanaofaidi keki ya taifa isivyo sahihi.
 
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...

Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...
View attachment 2219120
wewe unaleta uchonganishi- sijasikiliza hicho ilichokisema
 
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania amesisitiza kauli yake ya lazima tuwe watu wa kujitafutia kwa kujibana wenyewe kwa sababu hayupo jirani,ndugu ama shangazi wa kutupa vya bure.

Amesema hayo aliposhiriki Ibada ya ubarikio wa gari la Kanisa mojawapo la Anglikana huko mkoani Dodoma.
Yeye anajibana au wivu tu?
 
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...

Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...
View attachment 2219120
Anasyafu baada ya kupigwa pini na kubinywa kisawa sawa.
 
Si Kina Lema na wikiliks walisema kafichwa? Hizi mambo za ndani ziache zilivyo kuna watu wanahangaika sana kudanganya Umma!!!!!

Kaeni Kwa kutulia ya Mkutano wa CHADEMA yatawashangaza ninyi Wafuasi wake humu

Britanicca
Mkuu nakuelewa Sana!
Team Mbowe na Msoga wote ni wahuni tu!hao jamaa wanawafanya watz hawana maana!!
Ngoja Tuone!!
 
Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.
Yeye Samia mbona anapewa vya bure kutoka kwenye hizi hizi kodi zetu? Sisi ndio tunagharamia maisha yake ya bure bure tena ya kifahali halafu unatuambia sisi tusipende vya bure!
 
Hata katiba yetu inasema.

"Kazi ndio humpa mtu heshima"
 
Yeye Samia mbona anapewa vya bure kutoka kwenye hizi hizi kodi zetu? Sisi ndio tunagharamia maisha yake ya bure bure tena ya kifahali halafu unatuambia sisi tusipende vya bure!
Kwani ni kauli ya Samia tunaijadili au ya Ndugai?
Ndugai ndio anajitia kusema watu wasipende vya bure
 
Back
Top Bottom