mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Matamko yao yalikuwa sahihi lakini katika kutekeleza yale wanayoyaamini hapo ndipo kwenye shughuli pevu !! Mali za umma zinaliwa mno unategemea nchi ipate maendeleo ?? Ufujaji wa mali za umma ni mkubwa sana na sheria zetu sio Kali sana kwa wanaohujumu mali za umma !!!Hawa wazee walikuwa sahihi kabisa.