Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

Si Kina Lema na wikiliks walisema kafichwa? Hizi mambo za ndani ziache zilivyo kuna watu wanahangaika sana kudanganya Umma!!!!!

Kaeni Kwa kutulia ya Mkutano wa CHADEMA yatawashangaza ninyi Wafuasi wake humu

Britanicca
Wacha kina Lema hata Mtoto wake wa kumzaa kasema Baba yake pia alizuiliwa Asiongee na Vyombo vya habari

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...

Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...

Kwa kauli yake mwenyewe - kumbe swala la kustahafu ubunge 2025 lilishapangwa kabla na mikakati ya hatua inayo fuatia ilishapangwa pia. Mdogo mdogo mambo yanaanza kuwa hadharani juu ya taharuki iliyoibuka chamani mpaka kupelekea jamaa kuachia ngazi kwa kasi ya 5G na vijembe vya chifu Hangaya kuhusu kijani mwenzie na makundi 2025!
 
Kufanya kazi na kuheshimu matumizi mabaya ya pesa ni kitu muhimu sana katika maisha, Ndugai yupo sahihi hoja yake kwa level zote induvidually, nationally and internationally.
Mgonjwa aghali zaidi kuliko wote AFRIKA, awe na kaaibu japo kidogo basi. ATUBU
1652181293092.png
 
Kwa kauli yake mwenyewe - kumbe swala la kustahafu ubunge 2025 lilishapangwa kabla na mikakati ya hatua inayo fuatia ilishapangwa pia. Mdogo mdogo mambo yanaanza kuwa hadharani juu ya taharuki iliyoibuka chamani mpaka kupelekea jamaa kuachia ngazi kwa kasi ya 5G na vijembe vya chifu Hangaya kuhusu kijani mwenzie na makundi 2025!
Ndugai hana hiyo nguvu anayosema ni suala la muda tu, muda ukifika wote watatulia. Ukimwangalia mama anaonekana hana wasiwasi nao kabisa yeye na kundi lake kiufupi labda wajaribu 2030.
 
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...

Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...

Mjinga tu kama wajinga wengine mbona hakusema wakati wa Magufuli ambaye ndiye Rais aliyekopa zaidi katika kipindi kifupi kuliko Rais yeyote halafu akawa anadai anatekeleza miradi kwa fedha za ndani!
 
Kwa kauli yake mwenyewe - kumbe swala la kustahafu ubunge 2025 lilishapangwa kabla na mikakati ya hatua inayo fuatia ilishapangwa pia. Mdogo mdogo mambo yanaanza kuwa hadharani juu ya taharuki iliyoibuka chamani mpaka kupelekea jamaa kuachia ngazi kwa kasi ya 5G na vijembe vya chifu Hangaya kuhusu kijani mwenzie na makundi 2025!
Ameongea akiwa wapi?
 
Watanzania wanapenda vya bure wanataka wapunguziwe mafuta hadi elfu moja kama vile wanayachimba wao
😂😂😂😂MKuu,Una Chombo kweli?mbona Kama unawasnitch wenye vyombo?
 
Ndugai hana hiyo nguvu anayosema ni suala la muda tu, muda ukifika wote watatulia. Ukimwangalia mama anaonekana hana wasiwasi nao kabisa yeye na kundi lake kiufupi labda wajaribu 2030.
Unajua nguvu ya hela lakini? Watu wamepiga hela hawa na magu wake alafu zote ziko kambi yao wanajipanga tu utaskia.
 
Huyu mzee anasema hagombei tena ubunge 2025 ila anabaki siasani, maana yake anautaka urais au nini? Au ndio mwenyekiti wa Umoja Party.
Anaweza akagombea uwenyekiti wa ccm mkoa au hata wilaya. Huko nako ni siasa.
 
Back
Top Bottom