Huyu bi mkubwa kamtengeneza mwenyewe subiria huko mbeleni alipuke ndio mtaelewa vizuriAngetulia alinde heshima yake ndogo alionayo
Siyo yeye tu ambaye anaamini kujitegemea ndiyo suluhisho la maendeleo ya mtu binafsi, Jamii au TaifaInaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...
Sasa aliyoyasema Ndugai na mkutano wa Chadema, kuna uhusiano gani wewe mzee.?Si Kina Lema na wikiliks walisema kafichwa? Hizi mambo za ndani ziache zilivyo kuna watu wanahangaika sana kudanganya Umma!!!!!
Kaeni Kwa kutulia ya Mkutano wa CHADEMA yatawashangaza ninyi Wafuasi wake humu
Britanicca
Nani ataelewa sasa?Huyu bi mkubwa kamtengeneza mwenyewe subiria huko mbeleni alipuke ndio mtaelewa vizuri
Nilikuwa nakuaminia sana mzee mwenzangu lakini kwa sasa nimekuacha tu Umpepee Zelensky.Si Kina Lema na wikiliks walisema kafichwa? Hizi mambo za ndani ziache zilivyo kuna watu wanahangaika sana kudanganya Umma!!!!!
Kaeni Kwa kutulia ya Mkutano wa CHADEMA yatawashangaza ninyi Wafuasi wake humu
Britanicca