Hawa wanasiasa wote ni wanafiki na wa binafsi. Ndugai alikwenda India na mabillioni ya fedha za wananchi je hayo yalikuwa matumizi mazuri ya fedha za umma.?
Wanasema tu lakini hawaishi yale wanayohubiri!!
Kwa kweli !!Unashangaa?
Hawa wazee walikuwa sahihi kabisa.Siyo yeye tu ambaye anaamini kujitegemea ndiyo suluhisho la maendeleo ya mtu binafsi, Jamii au TaifaView attachment 2218848
Mwambieni aanze na wagogo wenzake ombaomba waache kabla hajaja kwa Taifa!Mungu akulinde baba Ndugai kwa kuwa mkweli
Bado ya kikwete na magu.Siyo yeye tu ambaye anaamini kujitegemea ndiyo suluhisho la maendeleo ya mtu binafsi, Jamii au TaifaView attachment 2218848
Ni mtu wa kuupuzwa daima na wenye akili, ila kwa wenye akili kama zako lazima mtamuona hivyo!Yule Mzee ataheshimika na kukumbukwa kwa kusimamia ukweli wake..
We nawe bure kweli..mbona serikali inategemea wananchi ili ijiendeshe?..kwanini na yenyewe isitegemewe..hata hujui nini maana ya uwepo wa serikali na kulipwa kodi.Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.
Ukute waliyasema baada ya kutoka madarakani.Siyo yeye tu ambaye anaamini kujitegemea ndiyo suluhisho la maendeleo ya mtu binafsi, Jamii au TaifaView attachment 2218848
Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania amesisitiza kauli yake ya lazima tuwe watu wa kujitafutia kwa kujibana wenyewe kwa sababu hayupo jirani, ndugu ama shangazi wa kutupa vya bure.
Amesema hayo aliposhiriki Ibada ya ubarikio wa gari la Kanisa mojawapo la Anglikana huko mkoani Dodoma.
wewe unaleta uchonganishi- sijasikiliza hicho ilichokisemaInaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...
View attachment 2219120
Yeye anajibana au wivu tu?Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania amesisitiza kauli yake ya lazima tuwe watu wa kujitafutia kwa kujibana wenyewe kwa sababu hayupo jirani,ndugu ama shangazi wa kutupa vya bure.
Amesema hayo aliposhiriki Ibada ya ubarikio wa gari la Kanisa mojawapo la Anglikana huko mkoani Dodoma.
Anasyafu baada ya kupigwa pini na kubinywa kisawa sawa.Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu ya Watanzania hawaamini katika maendeleo kuletwa kwa kukinga mabakuli ambayo ndio imegeuka sera rasmi ya awamu ya sita...
View attachment 2219120
Mkuu nakuelewa Sana!Si Kina Lema na wikiliks walisema kafichwa? Hizi mambo za ndani ziache zilivyo kuna watu wanahangaika sana kudanganya Umma!!!!!
Kaeni Kwa kutulia ya Mkutano wa CHADEMA yatawashangaza ninyi Wafuasi wake humu
Britanicca
Spika kugombea urais ni kujikosea heshima.Ameanza kampeni za urais sasa ni zamu ya kanisa kwa kanisa
Yeye Samia mbona anapewa vya bure kutoka kwenye hizi hizi kodi zetu? Sisi ndio tunagharamia maisha yake ya bure bure tena ya kifahali halafu unatuambia sisi tusipende vya bure!Hili kalimaanisha kwa wananchi waache kutaka kufanyiwa kila kitu na Serikali wafanye kazi. Hawezi kumsema Samia maana anategemea serikali impe vya bure, vya dezo na inaweza ikamkatia hizo dezo na hakuna anachoweza kufanya.
Kwani ni kauli ya Samia tunaijadili au ya Ndugai?Yeye Samia mbona anapewa vya bure kutoka kwenye hizi hizi kodi zetu? Sisi ndio tunagharamia maisha yake ya bure bure tena ya kifahali halafu unatuambia sisi tusipende vya bure!