Matamko yao yalikuwa sahihi lakini katika kutekeleza yale wanayoyaamini hapo ndipo kwenye shughuli pevu !! Mali za umma zinaliwa mno unategemea nchi ipate maendeleo ?? Ufujaji wa mali za umma ni mkubwa sana na sheria zetu sio Kali sana kwa wanaohujumu mali za umma !!!Hawa wazee walikuwa sahihi kabisa.
Bado ya kikwete na magu.
Duh !!ZILIPENDWA!
Nikukumbuka vile alivyojikomba kuomba msamaha!
Ayubu namuona Ka soli ya malapa ya maliwatoni huko guest bubu!
Kwani yale maneno yaliowafanya kuhara vile na kumnyang'anya uspika wake aliongelea wapi mbona vchwa vyenu nyie viroboto vimejaa udongoMi nilidhani kayazungumzia bungeni, kumbe ni huko uchochoroni?
Hopeless kabisa.
Anashindwa nini kusimama na kuzungumza aliyonayo moyoni watu wamuelewe!
Mbona mnaharisha ivo yeye kasema kanisa lake nyie huku matumbo yanaanza kuvurugwa vp nyie VIROBOTO jamaa anawatisha eeWith all due respect, yeye mbona anashindwa kujitegemea, kachota pesa za "WANYONGE" kujitibu India.
Ikiwa yeye binafsi anashindwa kujitegemea basi na serikali (yake) itaachaje omba omba. Hakuna kitu kama hicho kujitegemea huo ni msemo tu ukiwa na maana usikae ukategemea kitakuja bila ya kuvuja jasho. Kitafute kwa nguvu zako zote, palipobakia utaomba ujaliziwe!
wewe unaonaje mkuuKwamba inakosa ubingwa mwaka huu? Mzee kawa mkweli kabisa!
Hata angegmbea CCM wasingepitisha jina lake kwa sababu hajapeleka maji jimboni kwake.Huyu mzee anasema hagombei tena ubunge 2025 ila anabaki siasani, maana yake anautaka urais au nini? Au ndio mwenyekiti wa Umoja Party.
Ukweli ndio huo ambao mashabiki wa nyaunyau hawataki kuusikiawewe unaonaje mkuu
Atimuliwe ubunge kwa kutoa maoni yake? Wananchi wake watakubali?Labda anajua anaweza akatimuliwa na kukosa marupurupu yake !!
Wewe ni pimbi tu, sina sababu ya kujihangaisha nawe.Kwani yale maneno yaliowafanya kuhara vile na kumnyang'anya uspika wake aliongelea wapi mbona vchwa vyenu nyie viroboto vimejaa udongo
Atimuliwe ubunge kwa kutoa maoni yake? Wananchi wake watakubali?
Whats that all about? Amtishe nani huyo toes-less Kunta Kinte walking like toothless whipp abuser!Mbona mnaharisha ivo yeye kasema kanisa lake nyie huku matumbo yanaanza kuvurugwa vp nyie VIROBOTO jamaa anawatisha ee