Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

Ndugai , hupaswi kuyasema hayo kwa wabunge wanojua umefunja katiba, maana yake hujali sheria za nchi. KWA mujibu wa katiba yetu hatuna Mbunge binafsi, Mbunge anayetokana na chama ,uwanachama wake ukikoma na ubunge wake hukoma pia. Umefunja katiba, unataka kujadiri ndege! Anza kwanza kusafisha nyumba yako kabla kutaka kusafisha nyumba ya mwenzio. Leo unayasema hayo kwa kuwa Magufuri hayupo ,usisubiri spika ajae akuseme wakati haupo. Unawalipa mishahara wabunge ambao kisheria siyo wabunge! Watanzania hawatakuelewa kamwe.na ukifa utasemwa vibaya kama inavyotokea sasa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu.tena walipiga makofi
 
Whose space, vipi TRC wakiwa na mizigo yao and what about maintance?
Kunakuwa na mutual agreement between the two parties.Ni kama ubia fulani kati ya hiyo kampuni na TRA!
 
Rais wa hovyo kuwahi kutokea tz huyu marehemu, sijui kwanini alizikww kwa heshima vile.
 
Kunakuwa na mutual agreement between the two parties.Ni kama ubia fulani kati ya hiyo kampuni na TRA!
Ndio maana nikasema more details are required on how the whole thing works, ila sikatai Bakhresa kuweza kumiliki mabehewa yake considering soko la ngano East Africa yeye ndio market leader nchi karibu zote you expect him to source large volumes and trains provides him with ‘economies of scale’.
 
Akaamua kuwa mbabe na kuingiza bungeni wabunge wake 19 wa viti maalum kama yeye
 
Kama kuna watu kila nikiwaangalia katika mikutano ya Rais Samia namuona hana furaha kabisa na anakaa kinyonge sana ni huyu bwana Ndugai. Sijui tatizo ni nini?
Anastahili kuendelea kuwa speaker?
 

inafaa mtulie kwanza hata mwaka upite.

haya yote mnayoandika yasijewatokea puani.
 
Mpuuzi mshenzi ndugai siye uliyeuza mhimili wetu wa bunge kwa jiwe. Hii acct ilifichwa vote 20 ya ikulu ili tusijue madudu yao. Utuambie kama ile hongo ya $12m kule india kwa matibabu fake? Ilikuwa ni pamoja na hizi.
 
Mnafiki sana huyu saaboofey
 
Ndugai ni takataka hamna anachoongea na wanaomsikiliza wote ni bogus kama yeye. Alijifanya anamhusudu Magufuli mbona hakuzikwa naye. Very stupid speaker.
 
Mheshimiwa spika, kitaalam kupata hasara siyo sababu ya kuacha biashara Bali ni sababu ya kuwa mwangalifu zaidi na kuangalia namna ya kuziba mapengo yaliyosababisha hasara.
Ni kama vile mimba kuharibika siyo sababu ya kuamua kutokuzaa kabisa. Ukikuta mtu mzima anajifanya hazijui changamoto hizi za kibiashara ujue huyo mtu ana lake jambo.
Niseme tu kuwa "we are watching"!!!
 
1. Natamani taarifa ile ungeichambua ukaweka hayo madudu moja baada ya lingine tukayajadili hapa.

2. Masuala mengine ni wahusika kuwa wazembe kushindwa kurejesha majibu kwa wakati kwa CAG (kujibu hoja)

3. Nina imani kubwa Bunge litakapojadili mengi yatatolewa ufafanuzi na yataondoka!

4. Tunamshukuru sana CAG ametekeleza maagizo ya mzee marehemu Hayati JPM na Rais wa sasa Mhe. Samia Sukuhu Hassan kama alivyomwambia ukaandike report ya kina ili tuisaidie serikali na kukomesha ufisadi na wizi. Hivyo CAG amefanya kazi yake kwa weledi kama mwalimu wetu Prof. Assad

Tuwe na akiba ya maneno ndg zangu. Tusubiri Bunge lipitie taarifa hiyo kwa kina tujue mbivu na mbichi.

Namshauri Rais wetu mama yetu Mhe. Samia. Kama kuna mtendaji yoyote yupo madarakani na itathibitika kuiletea Serikali hasara na pia uzembe wa kutokujibu hoja za CAG, basi amtoe haraka sana kabla hajamuharibia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…