Kiguturi Nyamili
Member
- Oct 27, 2020
- 65
- 74
Ndugai , hupaswi kuyasema hayo kwa wabunge wanojua umefunja katiba, maana yake hujali sheria za nchi. KWA mujibu wa katiba yetu hatuna Mbunge binafsi, Mbunge anayetokana na chama ,uwanachama wake ukikoma na ubunge wake hukoma pia. Umefunja katiba, unataka kujadiri ndege! Anza kwanza kusafisha nyumba yako kabla kutaka kusafisha nyumba ya mwenzio. Leo unayasema hayo kwa kuwa Magufuri hayupo ,usisubiri spika ajae akuseme wakati haupo. Unawalipa mishahara wabunge ambao kisheria siyo wabunge! Watanzania hawatakuelewa kamwe.na ukifa utasemwa vibaya kama inavyotokea sasaSpika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu
Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza je ni sahihi kuendelea kununua ndege nyingine?
Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app