Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Sasa huku ndio bungeni,huyu Ndugai nae ni mbinafsi sana anasema kuhusu Dodoma kwa kuwa Dodoma ni kwao,sisi tunamsikiliza Polepole bana
 
Hapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Taratibu enyi watoto aliwshi kuishi mtu anaitwa Magufuli hapohapo mnaposema mnaishi nyinyi Shauri yenu ooohhh hayeniiii. TwendeniI taratibu
 
Miundombinu ipi bado?
 
Hapa wametajwa viongozi wakuu wa serikali (Rais, waziri mkuu, mawaziri,........).
Wapende wasipende Dodoma lazima waishi.
He kuna ambao hawaendi kuishi DODOMA?.
Haiwezekani kuwa wapo sehemu nyingine (ikiwemo DSM) kikazi tu?
 
Ndugai simpendi haswa hasa kwa kitendo chake kubaki sheria ya Uchaguzi kwa kuwabeba akina Mdee. Ila hili kuififisha Dodoma nitasimama na mzee wa Kongwa.
 
Kelele za ndugai zimetochosha sasa ni wakati wa system kumkamua mate
 
Ulitaka upate ww na cfa ya kupata huna???
 
Unaota
 
Ndugai ni Mgogo hatakiwi aongelee sana hili sababu ya'conflict of intrest hilo tu. Kuhamishia Makao Makuu ya nchi Dodoma hata kama liko kisheria wajue Katiba si Biblia Takatifu au Kuran Tukufu.

Wengine tulisema wakati JPM akiwa hai na hata wakati huu akiwa mfu, kitendo hiki ni kutapanya raslimali za nchi. Hakuna kumuenzi Mwl JK Nyerere hapo. Sababu za wakati ule hazina mashiko nyakati hizi. Hivyo kuhamia Dodoma ilikuwa ni mkakati wa kutengeneza soko bandia la Wakandarasi.
 
Wagogo waende wakachape kazi waache kulialia... Mashamba yapo wakalime!!
Maisha yanakwenda kasi sana
 
Eti "sheria ya Dom mji mkuu kamwe haiwezi kubadilika", hii ni kweli ndugu zangu ?
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?πŸ˜„πŸ˜„

Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.πŸ˜„πŸ˜„
Siyo mwenyekiti wa kijiji kweli? Ahahahshs popoma weee
 
Poleni Wagogo wenzangu
Anayefifisha hamasa ni sisi
Kabudi sikuku hii kubwa yupo wapi
YangaChawene wapi
Wagogo kwa ujumla ndiyo maana Mwendakwao mwishoni aliwatukana hadhatani na kumnyima dogo Mavunde unaibu waziri sisi bado sana?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…