Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Mnhhh... Hii nchi hii!!nhh.

CCM tuachieni Nchi Yetu
 
Kabla hata hatujamaliza siku 21 za maombolezo naona NDAGU imeanza kujibu.

Watajitokeza wenyewe na ikibidi watatajana ambao hawakuiimba Tanzania mioyoni mwao wakati wa JPM
 

Mpaka Mwili wake ukianza kuwa Mbolea ( Kuoza ) huko Udongoni aliko si tu kwamba tutawajua Wanafiki pekee kwa idadi yao kama huyu Spika Ndugai, bali na hata waliokuwa Wakimuogopa utadhani alikuwa ni Mungu Mtu Tanzania nzima tutawajua pia.
 
Why saying this now.
It's a bit difficult to buy this.
He should have said this at the time JPM was still around.
 

 
Bagamoyo ipo karibu na ulaya kuliko dar.
Sioni sababu ya kujenga bandari ya bagamoyo wakati ya Dar haijafanya kazi at full capacity na bado inaweza kupanuliwa...otherwise hiyo bandari iwe ni long term project ambapo tutatumia pesa za ndani......tumeshachoka na mikataba ya kiwizi.
 
Kweli ni ngumu kuwaelewa wanasisa
Ila kuna mengine inatakiwa akili ya ziada au kuyachambua mambo kwa umakini tu
Kama walikuwa wanaogopa kumshauri Ina maana hawakuweza impeachment?
Aidha sasa ndio wanataka kupiga zaidi au kuna walengwa au wanufaika nyuma
 

Yani mataga mmepoteana kabisa.
 
Haileti maana kuwa na bandari mbili kubwa zinazofuatana yaani kwa umbali mfupi namna hiyo.

Dar yanyewe bado haijatengamaa halafu tuongeze nyingine??

Hivi tukianza kuhisi otherwise tutakua tunakosea??

Ndugai must resign.
 
Unafiki plus

Wangesubiri ata mwaka upite ndiyo waanze unafiki

Ata matanga hayajaisha wanaanza kumnanga shujaa wa Africa
Mwendazake wanafiq waanza kumla kichwa kabla ya 40
 
Mkuu niunge mkono hoja

Mama awe makini saana na watu wa namna hii

Alienda kivipi huko makao makuu?

Usikute kila mtuu sasa hivi anatafuta namna ya kupiga.

Waweke mkataba ili sote tuone.



Hapa utagundua hapo hakuna mwenye nia njema na nchi hii.

Naanza kumuelewa Magufuli kwamba alijitoa maisha yake. Kweli alizungukwa saana tushukuru hata haka ka muda alikotumikia.

Sikuamini kama nchi inawatu wa namna hii.
 
Ndugai unageuka nyuma na kujikataa mwenyewe? Bora kipindi kile ungekaa kimya. Sisi tukuaminije sasa unachosema una maanisha?
 
HII HABARI YA BUNGE LILILOPITA UKISIKILIZA UTASIKIA JINA LA MHE ALLY KESSY.


MHE KESSY HAJARUDI BUNGE HILI


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TUMENG'AMUA NI TANGOOOO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…