Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Hakuna biashara inayokufa Kwa kuangalia Jinsia
Biashara inaweza kufa hata ikifanywa na mtu mwenye jinsia zote
Muhimu kuwa na strategic inayoeleweka na kufanya self assessment ya Kila wakati ili kuweza kujua namna ya kuboresha
Hivi Siku hizi hakuna wale mademu wa Enzi za Profesa ya Zali la Mentali? Wale wageti Kali na mboga saba 🙌
Nimevuta pumzi moja ndefu!!Wadada WA Watu Maskini wanaingia mamikopo Siku hizi Kisa kutaka kuolewa
Kwa nini😆Nimevuta pumzi moja ndefu!!
Halooo!
Mimi kama ntaoa mwanamke tamfungulia biashara na mtoto tamfungulia biashara....Dunia ya Sasa mke na watoto ndo watu wako wa karibu
Nimevuta pumzi moja ndefu!!
Halooo!
Ni kweli Mkuu, lakini sio wote wanaweza kuwa hivyoWengi huogopa Mke akiwa na kipato anageuka kuwa Mbogo.
Mwanamke kama alifuata unafuu wa Maisha Kwa Mwanaume Siku alipata Pesa lazima abadilike
Mmh sina hata cha kusema ila nimekaa hapa naangalia hili jua linavyowaka nakuta vitu vingi vinazunguka kichwani.Kwa nini😆
Kabisa MkuuMda mwingine kama umemuwezesha sana hata akigeuka hawezi tupa jongoo na mti wake Kuna namna tu ya zimwi ya likujualo
Upo wapi,,,, , kwa sauti ya Evelyn Salt 🤣Mmh sina hata cha kusema ila nimekaa hapa naangalia hili jua linavyowaka nakuta vitu vingi vinazunguka kichwani.
Mmmh! Mhhhmh!
Weeeh!😀Nchukulie mkopo Basi😊
Weeeh!😀
Na ulivyo na maneno mengi mengi ya kifasihi!Mmh!🏃🏿♀️
Nakupa Ñyota Kwa ulichosema.Ni kweli Mkuu, lakini sio wote wanaweza kuwa hivyo
Nilichogundua Wanawake wanaweza kuanza kubadirika iwapo wataanza kuona una-cheat hadharani pasipo kumuheshimu
Lakini kama unampiga matukio ya kimya kimya, hakuna Mwanamke atabadirika.
Muhimu umuheshimu, na hivi vimilioni milioni ukipata sio mbaya kumuingizia kwenye akaunti yake na kumwambia Baby, nimekuingizia hela za Matumizi zibajeti
Hiyo “nikafanye yangu” hiyo.🏃🏿♀️Wewe nchukulie mkopo nikafanye yàngu. 😊
😹Nipo namalizia kufua ntakubipu (in Evelyn Salt voice)
😀
Hiyo “nikafanye yangu” hiyo.🏃🏿♀️
Hiyo “nikafanye yetu” hiyo is equal to “nikafanye yangu”Ooh! Sorry! Nikafanye yetu.
Mkopo bila riba?
Au mkopo weñye riba nafuu?
Au mkopo Kausha damu?