Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Unachokisema kina ukweli ndani yake mkuu. Ukizingatia Degree imekuwa kitu cha kawaida sana mtaani kazi hakuna ila watu wana vyeti ndani.Binafsi nilipiga BAF nikaona haina tija safari ya kuitafuta cpa sio mchezo bora niwahi kujiajiri kwenye logistics
Uko ndio Kuna hela si unamuona usiri? Wekeza kwenye matatizo ya watu
 
Dogo nataka kumpeleka VETA tu! Hii kubakia na degree ambayo haina msaada wowote,hapana
 
Kazi za ku- operati bulldozer zipo kibao mkuu
 
Dogo nataka kumpeleka VETA tu! Hii kubakia na degree ambayo haina msaada wowote,hapana
Akajifunze umeme wa magari awe deep ajitangaze, si unamuona Dr Toyota? Anafungua brach Kila sehemu Hawa VETA hawakai akishakua na jina anapiga kazi nyingi, kama akipata mtaji anajiongeza kufungua duka la spare za magari
 
Kwenye orodha hii umesahau kuweka Petroleum
 
College education is officially dead, machines AI zimeanza kufanya kazi vizuri sana and faster kuliko binadamu, vitu kama accounting, software engineering etc usipoteze muda wako
 
Craftsmanship/technical skills/trade school ndio future ya vijana kwa nchi zinazojielewa.

Endeleeni kusoma Political science na Public administration, hakuna rangi mtaacha kuona.
Boss hiyo craftsmanship nilikucheck inbox , nilitaka ninunie ile mashine vipi tender za kuchonga vipuri ipo?
 
Angalau na kichina kinalipa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…