Nilipiga 2M nilichokumbuka ni kuichomoa 500k fasta nikaenda kufanya shopping haraka sana kabla Jamaa hajaroga urudishe zote, kurogwa kupoTena huyo ana akili kinoma noma alikumbuka kununua ki fridge na boda? Inaishiaga kwenye kula kilometa tu kama msemo wa Evelyn
"Kula km kijana kula km"
Ushasema illegal business hapa we're talking about legal business maana betting sio illegal,
Mkuu acha ubishi, kuna boda boda wamejenga kabisa na wana biashara kubwa lakini hawafikii hata asilimia 1, ni sawa kwa wasanii wapo wengi sana lakini ni asilimia 0.01 waliotoboa ni mtajiri akiwemo mtoto wa TandaleUshasema illegal business hapa we're talking about legal business maana betting sio illegal,
Ni kamzozo we hela iache tu mi mkopo wangu wa kwanza kuchukua bank ,uliingia saa 9 usiku.Wenge mpaka kichwa kinauma ,kwanza nikamdanganya mwenzangu naenda kupokea mgeni.Hela inataka nidhamu kali sana na elimu .Nimecheka mpaka alinayekula daku amepaliwa
Yeah sure, lakini Jamaa anajenga kwa kubetHakuna MTU atakuambia ukweli wa mambo yake yote hasa yanayohusu success
Hilo kashalizungumzia jamaa hapo juu illegal business,Mkuu acha ubishi, kuna boda boda wamejenga kabisa na wana biashara kubwa lakini hawafikii hata asilimia 1, ni sawa kwa wasanii wapo wengi sana lakini ni asilimia 0.01 waliotoboa matajiri
Yeah sure, lakini Jamaa anajenga kwa kubet
Mimi naishi na bodaboda nawafahamu wanacheza Vicoba sio rahisi km unavyoaminishwaMkuu acha ubishi, kuna boda boda wamejenga kabisa na wana biashara kubwa lakini hawafikii hata asilimia 1, ni sawa kwa wasanii wapo wengi sana lakini ni asilimia 0.01 waliotoboa ni mtajiri akiwemo mtoto wa Tandale
Wapo walipewa boada za mikataba nao wakaanza kununua boda zao wanazitoa kwa mikataba waka expand kuwa na maduka na biashara zingine
Mkiandika hivi viingereza vyenu mhakikishe mnaweka na dictionary kabisaEbe
Life is all about code
But I can't be trapped with gambling because I bealive this damn is like to build a sand house one day it will be swepts by winds .
Yeah gambling is hell but to some few people it's a heaven,😁😁😁 nothing impossible in this life but gambling is HELL
😁😁alinunua kifriji cha kutunzia grand malt, ndio yalikuwa maji kwake
Umerogwa bila kujua ukishinda wahi K/koo kachukue Mizigo sema ubaya wa hizo hela ni kuzimwaga ovyo ovyo hapo ndio kunakua na tatizo unajikuta unazimwaga ili tu usizirudishe Ila ukija kutafakari ulichokifanya sicho ulichokipangalia na wala hukutarajia na ukisema ubaki nazo wewe ni addict (teja wa kubet ushakua zombie) lazima ubet tu na ukibet zinarudi kule kuleHela ya kamari huwa inarudi kulekule leo unashinda 7M kesho kuna shetani atakwambia weka mkeka wa 3M ushinde 50M ukiweka tu umeliwa keshokutwa shetani anakwambia weka 2M ushinde 20M ukiweka tu umepigwa tena unajikuta umebaki na laki 6
The Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .Yeah gambling is hell but to some few people it's a heaven,
Akili yake tu bado haijakomaaNilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe boda
Ni hivi hela za kamari hazina baraka ni sawa no hela za riba tu,,,,utapanda lkn ipo siku utashuka tuUmerogwa bila kujua ukishinda wahi K/koo kachukue Mizigo sema ubaya wa hizo hela ni kuzimwaga ovyo ovyo hapo ndio kunakua na tatizo unajikuta ujazimwaga ili tu usizirudishe Ila ukija kutafakari ulichokifanya sicho ulichokipangalia na wala hukutarajia na ukisema ubaki nazo wewe ni addict (teja wa kubet ushakua zombie) lazima ubet tu na ukibet zinarudi kule kule
Chief leo soft ware yako kumkichwa inamwaga ngeri au mvua imelowaThe Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .
If 99% gamblers are end up being broke , means this way is tough and toughness