Sasa hapo pole yake nini? Kala hela akaitumia hiyo hela, mlitaka afanyeje? What easy comes is what easy goes😀Duu pole yake
Mkuu tumia kiswahili tu!Kila kitu kinawezekana mkuu wapo pia hadi boda boda wamejenga maghorofa.
Always fahamu kuwa "success and opportunities lies in the job in an individuals.
Kazi zetu watu wengi na mafanikio yetu haviendani .
Maghorofa kuna hadi walimu wamejenga sometime people do such damn as to rinse their money.
Kuna somo nilipewa, kwamba(ukiwa wa, kiwango Fulani cha pesa,mathalani, we ni wa vilaki laki tu, ukipata milioni,akili inaacha kufanya kazi, mpaka uzitumie zikifika kile kiwango, ambacho ndio hadhi yako, una bumburuka kama zuzu nakujiuliza umetumia vipi pesa!),Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Si umwambie tu ukweli kiinglish chake ni broken!Hivi kwanini huongeagi lugha ya taifa mkuu, does it somehow give you a feeling of being smart just to speak what many Tanzanians can't comprehend ?
No superior command of English at all. Comment zipo grammatically wrong na tense/tune.Ana mbwembewe tu na ulimbukene, chunguza sentensi zake nyingi zina broken English
Askari wa kweli wa kweli hajutii hii ndo kauli nilifundishwa nikiwa chuo x.Nilishakula 14m ilikata chap nikarudi to the scrach kwenye mikeka yangu ya jero.
Sikujuta
Ni huzuni kwa kweliMwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Aint gambling money a clean money?The Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .
If 99% gamblers are end up being broke , means this way is tough and tough
SafiAskari wa kweli wa kweli hajutii hii ndo kauli nilifundishwa nikiwa chuo x.
Hata nikibet nikiliwa au nikipiga nyeto.
Wapi huko.Kuna Jamaa anashusha ghorofa huku mtaani kwa Pesa za kubet,
Kwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo sualaKwanini kamari ni haram?
Wewe ulikuwa wapi Hadi anafanya ufujaji awa pesa zote hzoNilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo bhnaWe unasema betting ?! Kuna dogo alipewa hela za mirathi milioni saba na chenji.Picha linaanza hana atm card akatoa dau mtu yoyote wa bank atakayefanikisha kumtolea laki 5 anampa laki mbili.Sisi mabrother zake wamtaa ukimsalimia haitiki anadai hakujui.Alimwaga msosi akadai ni mchafu na unanuka .Anaokota makopo kwa sasa.Nimechoka kusimulia.
Ntamrekodi dogo lao halafu utasikia visanga .[emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo bhna
Wale Ni mafisadiIla Nchi hii kuna umasikini sana, milioni 7 mbona Pesa ndogo tu.
Kubeti mkeka wa laki 1 mbona Jambo dogo tu.
Watu wanaweka 1 m kwenye mkeka kila wiki.
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Hii point imenihuzunisha sana, pesa ya betting sisi hunywea pombealinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)