Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Kila kitu kinawezekana mkuu wapo pia hadi boda boda wamejenga maghorofa.

Always fahamu kuwa "success and opportunities lies in the job in an individuals.

Kazi zetu watu wengi na mafanikio yetu haviendani .

Maghorofa kuna hadi walimu wamejenga sometime people do such damn as to rinse their money.
Mkuu tumia kiswahili tu!
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Kuna somo nilipewa, kwamba(ukiwa wa, kiwango Fulani cha pesa,mathalani, we ni wa vilaki laki tu, ukipata milioni,akili inaacha kufanya kazi, mpaka uzitumie zikifika kile kiwango, ambacho ndio hadhi yako, una bumburuka kama zuzu nakujiuliza umetumia vipi pesa!),
Na wataalamu wanasema kuna tofauti ya, kuwa milionea na kumiriki ma milioni ya pesa,
Milionea, inaanzia kwenye state of mind, hata kama huna hayo ma pesa, We ni milionea hatq kama mfukoni huna shilingi!
 
Ana mbwembewe tu na ulimbukene, chunguza sentensi zake nyingi zina broken English
No superior command of English at all. Comment zipo grammatically wrong na tense/tune.

Wengi English inatupiga chenga ila atleast ukisoma sentesi haitakiwi kuwa na ukakasi wa wazi kama kutokujua wapi pa kuweka is vs are....

Sasa mshahauri mbongo aibuke na debe la mitusi.
 
Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Ni huzuni kwa kweli
 
The Chance are ,is to save young generations to abstain gambling there's a lot of ways to earn clean money .

If 99% gamblers are end up being broke , means this way is tough and tough
Aint gambling money a clean money?
 
Kuna raia humu wanakicharaza kikristo!

Kuna maskini mmoja humu yeye anajikuta anaifahamu mno pesa hata kuiita milioni 1 ni pesa ndogo. Wewe jamaa sio kila mtu ni zuzu kama ulivyo wewe. Milioni moja ni pesa nyingi mno kama una adabu.
 
Kwanini kamari ni haram?
Kwa sababu unapata hela ambayo hujaifanyia kazi na sio halali yako n kama umempora mtu huwez weka 1000/= uje upate milion 10 kama ni biashara n biashara ya aina gani ndo mana tunasema kamari haram na hata ukipata iyo hela ndo hayo yanakuja kutokea tunayoyazungumza mtu unapiga milion 40 ila baada ya mda unakuja kuokota makopo mtaani huku ila kama n hela halali haiwez tokea ilo suala
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda
Wewe ulikuwa wapi Hadi anafanya ufujaji awa pesa zote hzo
 
We unasema betting ?! Kuna dogo alipewa hela za mirathi milioni saba na chenji.Picha linaanza hana atm card akatoa dau mtu yoyote wa bank atakayefanikisha kumtolea laki 5 anampa laki mbili.Sisi mabrother zake wamtaa ukimsalimia haitiki anadai hakujui.Alimwaga msosi akadai ni mchafu na unanuka .Anaokota makopo kwa sasa.Nimechoka kusimulia.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo bhna
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia katoni za grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe bodaboda

Mwenyezi Mungu alishaharamisha kamari
 
Mkuu wewe ulitaka afanye nini?Milioni saba ya kubeti mbona hela ndogo sana.Tena kajitahidi sana.Wapo wanaoshindaga Milioni nyingi sana na bado wanarudi pale pale.Utajiri SIO mrahsi hivyo boss
 
Back
Top Bottom