Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

PSL god

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
12,573
Reaction score
9,076
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
 
analia kana kwamba alikuwa ana mategemeo ya kupata pass mark...

Mpe pole sana.
Mwambie ndio Ukubwa.
Na mwambie huko mbele anapoenda ndio kuna kufeli mara nying zaid.

Na kufeli moja sio kwamba ndio amefeli maisha.

yaan hapo ndio kwanza ameanza kufeli. Huko mbele kuna kufeli sana. Kuna kufeli kwenye Kazi. Mahusiano na maisha nk . sasa akiwa weak namna hiyo si atajiua huyo.

Option
1.Kama anajiamini arudie mtihani mwakan.
2.Asome diploma kwa kutumia chet cha form four na ajipambanie asome hadi degree.
Hii miaka 2 aliyopoteza aipotezee tu.
 
Najua inakuuma ila usiogope mkuu maana ni kawaida kwa anavyojihisi na kwa ufaulu wa siku hizi, si ajabu anajiona kama mjinga wa mwisho na pengine matarajio yake yamezima.

Mpe muda atanyamaza mwenyewe na baada ya hapo kuna options atapata na maisha yataendelea..
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Arisiti hata hivyo Bora anaelia kuliko wa.kimya angejitundika.
 
Mtie moyo mwambie kuwa kufeli shule siyo kufeli maisha bado ana nafasi nzuri tu ya kusoma.

Ni bora yeye aliyepata hizo alama kuliko wale waliodanganywa na alama za juu ngoja waende baadae watajionea mwisho wa safari njia aliyochangua yeye na njia waliochagua wao ipi ilikua bora.
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Asome Diploma tu Ila Kama hataki mwambie ajaribu kukomaa na kurudia mtihani wa 4M6 au asome ile course ya OUT inaitwa foundation course
 
Ndugu yako ni mjinga sana, madogo wamepiga sana hizi pepa. Huyo ni mjinga. Mpelekeni VETA​
Shida ya elimu ya bongo, uelewa wa mtu uliyemfundisha kwa miaka unaamuliwa na paper ya siku moja.

Kama ameweza kusoma PCB pasipo kupata miswaki yote. Huyo bado kichwani mzima kwa elimu yetu ya bongo. Aanze tu diploma, mambo yatakaa sawa.
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Akasome Diploma ya Laboratory Technology, baada ya miaka minne kutoka sasa atakuwa mlipa zaka mzuri kanisani
 
Back
Top Bottom