Watu mnawamezesha sana watoto/ndugu zenu ujinga,mnawapa vitisho sana Wakiwa chini yenu kiasi kwmb na wao wanaamini kukosea/kufail ni jambo baya sana,mnawajaza uoga kutokujiamini,mnawajaza maujinga ambayo athari zake ndo hzo na wrngine Eti wamafkia hatua mpk kujiua kbs kisa kafail mtihani...huo ni ujinga haswa.
Riziki ipO kwa aliyekuumba ndg zangu,alikuwa anakupa riziki Tangu Upo tumboni kwa mamako ulikuwa hta hujitambui Japo hta mamako pia alikuwa hajui kma unapokea riziki kupitia phalopian tube kwa miez 9.
Hatma ya wewe kufaulu maisha pia ipo kwake na ndo Unaona Wajinga wengi wana hela kuliko wale tuliokuwa Tunaona wana akili,na hao hao wenye akili ndo wameajiriwa na hao vilaza,hy ni mifumo ya aliyeumba hii dunia.
Acheni kuwajaza watoto uoga na ujinga,wajazeni watoto ujasiri,kujiamini na kumtegemea Mungu muumbaji pekee