Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Oya Yenbe aka baba Lomo omo. Dada wanaofanya kazi kwangu wote wana sofa hizi

Siangaiki na vigezo vya kujua kupika au kufanya usafi, vitanisaidia nini?
IMG_20240806_235211_333.jpg
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Alichokuwa anakiwaza au kutamani kukisoma baada ya Form 6, akakisome kwa kutumia Cheti cha Form 4 ingawa atalazimika kuanzia ngazi ya Diploma.
Kulia hakuwezi kumpa solution. Mwambie awe serious na shule aache mapenzi kitovu cha uzembe shuleni.
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu

Aende diploma kuna kozi za kutosha.
 
PCB sio matako/makalio kwamba kila mtu anayo.

Mimi niliataaga ku fail kwenye Jambo lolote maishani.

NB. Akubari matokea aende diploma ya medicine akapambane huko kulia ni kwa WEAK PEOPLE/ KULIA HAUJAWAI MSAIDIA MTU WALA KUBADILISHA MATOKEO KWENYE SCORE BOARD.

Akifunzee some GAMES WE WIN, SOME GAMES WE LOOSE.

MWISHO WA SIKU HII DUNIA INA MUHITAJI ZAIDI YA ANAVYO IITAJI..KUFAIL SHULE SIO MWISHO WA MAISHA/ DUNIA.
 
Shukran
 
Back
Top Bottom