min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwamba apambane na hali yake tušAcha alie Tu maumivu yakiisha atajua muelekeo
Kwamba apambane na hali yake tušAcha alie Tu maumivu yakiisha atajua muelekeo
Aende TVET. Kwa ufaulu niliosikia na kiwango alichopata, hana sababu ya kulia. Huyo ni PRETENDERWajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Kabisa ajue Yuko peke yake apambaneKwamba apambane na hali yake tuš
For sureKabisa ajue Yuko peke yake apambane
ShukranMpe mda matokeo yametoka jana wewe na familia yako mnataka mdecide future pale pale baada ya week atakuwa sawa
Kingine bado ana future nzuri tu Sema mtatumia gharama nyingi na mda wa masomo inabidi achague long path course za diploma Afya, Engeneer ,natural science na biashara ni nzuri cha msingi asikate tamaa tena atakuwa Genius huko diploma
Hahaha ni keMuache alie, ni sehemu ya uponyaji wa nafsi, baadae kilio kitaisha atasema anataka Nini, wala msimbembeleze, Kama ni mwanaume, tafadhali mfikishie ujumbe wangu Kuna vilio vingi Bado mbele, vingi sana, hiki ni cha maandalizi tu!
Hahaha ni ke
Ndio miongoni mwa hao 38 Tanzania zima?Wajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Zile divishen wani za mserereko kakosa!! Kama ana akili ya ufundi mpelekeni VETA ikishindika mleteni shambaniWajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Diploma akasome kozi gani?Unajua maana ya f, anawatukana waliomlipia ada; ffalll; kuliko kupoteza muda na kwenda A level, bora angetumia cheti cha kidato cha nne, kusoma diploma ya miaka mitatu na kuunganisha kwenda digrii.
Ajachelewa bado, elimu ipo kinachotakiwa ni uwezo wa kulipa ada.
Ata urubani akitaka kwenda kusomea inawezekana, muhimu ni hela yake tu.
Mishangazi boyyyyyAlisoma comb gani ..
Kama alisoma sayansi alafu kapata hivo..
Usiseme amefeli kiufupi mtu anayesoma comb ngumu sio kafeli bali kapata chache ..
Rekebisha title sema kapata chache.. ila kama alikua comb za hawa wanasheria ndo tunaweza sema kafeli..
Na kufeli form six ni dalili za upinde kwa mwanaume ila
kama ni mwanamke mwambie aje huki gomzi nipo tayar kumuweka ndani tukaanza maisha akatafuta cha kufanya
Wakuu hayi maandishi mekundu bolden ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakilisha hasomi na ni mzuri pia anajitambua..
Anaweza kufanya biashara kama
Vijora
Uwakala
Stationary
Naweka kukukaribisha umri 18-23...
Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana
Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki nisumbuliwe PM...
Oyeeeeeeeh mishangzi ni kwa kwenda mbeleMishangazi boyyyyy
Diploma akasome kozi gani?
Umeongea jambo zuri sana, "kufeli sio ajali"Huyo dogo ni mpumbavu, kufeli sio ajali tuseme hakujua!