Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Muulize alikuwa anataka kusomea nini halafu angalia kama uwezo unao akaanze certificate atapanda hadi afike anakotaka. Ukiona hakujibu anaendelea kulia mpe mabapa matatu ya uso hadi aone nyota huyo atakuwa anakuzuga na ameumbuka.
Akikupa jibu wekeaneni mkataba wa makubaliano kuanzia ufaulu hadi mtindo wa maisha chuoni sababu huko uhuru ni kama mmachinga. Ukiona dalili sio akiwa chuoni muozeshe nitakuchangia katoni moja ya Konyagi
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Ndoto yake ilikuwa nini hasa? Kwa ndoto yake anaweza fikia still kwa kuanzia diploma.
 
Muulize alikuwa anataka kusomea nini halafu angalia kama uwezo unao akaanze certificate atapanda hadi afike anakotaka. Ukiona hakujibu anaendelea kulia mpe mabapa matatu ya uso hadi aone nyota huyo atakuwa anakuzuga na ameumbuka.
Akikupa jibu wekeaneni mkataba wa makubaliano kuanzia ufaulu hadi mtindo wa maisha chuoni sababu huko uhuru ni kama mmachinga. Ukiona dalili sio akiwa chuoni muozeshe nitakuchangia katoni moja ya Konyagi
Hahaha shukrani
 
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Tunaposema 5&6 ni usenge wa kuupoteza muda muwe mnatuelewa muulizeni yeye anataka nini, problem tunaowasaidia mbele hua wanatusahau km tuliwahi kuwasaidia
 
Aisee, mbona ameanguka vibaya hivyo?, hata "C" moja Hana, alikuwa anakula na kulala tu itakuwa, poleni sana. Mpelekeni Diploma huyo, akaanze kusoma kozi za afya. Msimpeleke VETA kwanza, kama vyuma vipo lakini.
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Nipe namba yake nimuelekeze kitu mbona Bora yeye ana TU D TU s hapo na TU E Mimi nilitia Tu F flat.
Sikulia Wala kuona aibu sasaivi waliopataga dvn 1 hata wakitaka kununua vikombe wananitafuta niwape ramani.
 
Muache alie na kulia sio utoto, kulia ni kujitafakari na wakati mwingine kinachomliza ni majuto. Kwa zaid ya asilimia 70 analia kwakuwa kilichofanya amefeli anakifahamu vema. Mpe pole akishanyamaza mpe ushauri, "mwambie yaliyopita si ndwele tugange mapya, kufeli shule sio kufeli maisha na kuanza upya sio ujinga" Hivyo ataanza diploma na ndoto zake zitatimia.

Kumbuka kipindi hiki muoneshe kumjali na kumpenda, mpe nafasi yakulia ili ajutie. Sio wakat wakimgombeza wala kubishana nae. Kwa kawaida maumivu ya kufeli huwa makali ndan ya masaa 72, hivo kuanzia leo usiku na kesho atakuwa sawa kabisa, kama maumivu na vilio vikizid mtafute mtu wakuongea nae anae muamini na atakuw sawa.
 
Shukran
 
Nipe namba yake nimuelekeze kitu mbona Bora yeye ana TU D TU s hapo na TU E Mimi nilitia Tu F flat.
Sikulia Wala kuona aibu sasaivi waliopataga dvn 1 hata wakitaka kununua vikombe wananitafuta niwape ramani.
Eeh asee ulichukua combi gani hadi upate F flat?
 
Aisee, mbona ameanguka vibaya hivyo?, hata "C" moja Hana, alikuwa anakula na kulala tu itakuwa, poleni sana. Mpelekeni Diploma huyo, akaanze kusoma kozi za afya. Msimpeleke VETA kwanza, kama vyuma vipo lakini.
Sawa mkuu
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Ibabidi atumie cheti cha form akasome Certificate sijui Diploma
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Diploma, cheti cha form four
 
Wacha tu alie aisee... Kwa ufaulu huu miaka hii. Wacha alie.

Yani unakuta shule ina Div 0ne 300. !!!?? 😅😅😞😓😳😳

Alie tu.
 
Wajumbe hamjambo.

Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6

Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F

Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.

Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Naelewa kwanini analia. Huenda ni vile anawaza kuwa mshindi✓✓✓. Aidha hapaswi kulia, kusononeka, wala kukata tamaa ajipange upya, kama uwezo upo kifedha ajiunge diploma tu. Hasikate tamaa.
 
Inauma sana kwa mategemeo binafsi na kwa mategemeo ya familia pia ya wewe kufaulu na kwenda chuo kikuu.
Nimepita huko ila nashukuru Mungu kuna vitu unakosa na unakata tamaa ila badae unashukuru Mungu ni kama vile alipanga upite njia fulani.
Dogo anahitaji couselling ya kutosha maana mimi pamoja na wazazi kuwa wasomi na kuwasomesha dada na kaka zangu wote bado nakumbuka hadi mzee aliona nilivyosononeka akawa ananiambia "We bwana kuna watu hata hawajasoma na wana maisha usikae unawaza sana mambo ya shule we tulia endelea kupambana kwa upande mwingine naamini utapasua tu"
Looking back nashukuru sana kwa supoort yao na ushauri otherwise ningekuwa pagumu sana leo.kwa maamuzi yangu mwenyewe nlitaka niingie kufanya biashara niachane na vitabu ila sidhani kama ningetoboa bila kuwa mjanja mjanja au tapeli 🤣.
Anyways dogo anahitaji counseling yenu sana kwa sasa la sivyo atapoteana kwenye mawazo mengi mno.
 
Back
Top Bottom