Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Kwa Nini Alie wakati diploma za science zimejaa!?
Ni WA kike au kiume!?
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Yah sikuonaMzee baba hukuona hii maneno ya kaka mtu?
Arisiti hata hivyo Bora anaelia kuliko wa.kimya angejitundika.Wajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Asome Diploma tu Ila Kama hataki mwambie ajaribu kukomaa na kurudia mtihani wa 4M6 au asome ile course ya OUT inaitwa foundation courseWajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Shida ya elimu ya bongo, uelewa wa mtu uliyemfundisha kwa miaka unaamuliwa na paper ya siku moja.Ndugu yako ni mjinga sana, madogo wamepiga sana hizi pepa. Huyo ni mjinga. Mpelekeni VETA
Akasome Diploma ya Laboratory Technology, baada ya miaka minne kutoka sasa atakuwa mlipa zaka mzuri kanisaniWajumbe hamjambo.
Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6
Kapata as follows
Gs - E
Phy - S
Chem - E
Bio - D
B/math - F
Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni diploma tu yeye analia tu hawezi hata kuongea kitu.
Wajuvi wenye experience naombeni mchango wenu
Ampe mfano rahisi wa mkuu wa kaya, alifeli sekondari na leo hii amefika alipofika, iwe kwa haki au namna yoyote ila yeye ndio mkuu wa kaya. Mifano tunayo mbona.Arisiti hata hivyo Bora anaelia kuliko wa.kimya angejitundika.