Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Naomba Kuongea na Huyo mdogo wako.
Maisha ni Kupambana mapambano yanaitaji utayari, kuferi Dasani sio kuferi Maisha. Nitumie Namba yako niongee nae kupitia namba yako.
Kuandika hujui ,kuferi,yanaitaji,dasani halafu unataka kumshauri aliyefeli PCB wabongo wakishasikia KE wanachanganyikiwa
 
Ndugu yako ni mjinga sana, madogo wamepiga sana hizi pepa zilikuwa nyepesi sana. Huyo ni mjinga. Mpelekeni VETA​
Ukienda VETA huku una mentality ya kwenda ulikokuwa unapataka chuo kikuu ndio utavurunda zaidi. Elimu ya ufundi stadi inataka utulivu wa akili
 
Kufeli sikieni tu wajuba, kama ulikuwa unafanya vizuri darasani ukafeli mtihani lazima utalia tu. Ile ni golden chance kuipoteza inaumiza sana na kurudia mtihani ni propability tu kufaulu
 
Mpe pole yake. Maisha hayaishii hapo.
Lakini mtu kufeli na kuanza kulia naona siyo sahihi kwa mhusika. Wewe mtihani ulifanya mwenyewe na lazima utoke ukijua hapa paper limenipiga u akuwaje na matarajio makubwa?

Watu tulikuwa tunatoka tunajua pepa imepinda maumivu yanaanzia humo kwenye chumba cha mtihani na siku kadhaa mbele,mpaka matokeo yanatoka usha pona tayari.
 
Naam
 
Mpeleke klerruu chuo cha ualimu iringa akapige diploma ni miaka miwili tu au aingie asome kitabu cha TCU aangalie course anayohitaji ngazi ya diploma yenye miaka miwili akasome
 
Mpeleke klerruu chuo cha ualimu iringa akapige diploma ni miaka miwili tu au aingie asome kitabu cha TCU aangalie course anayohitaji ngazi ya diploma yenye miaka miwili akasome
Shukran
 
Mwache kwanza amalize kulia kisha tutajua la kufanya.

Apoe kwanza.
 
Akasome diploma ya clinical dentistry ,
Diagnostic radiography Au physiotherapy
Hatojutia
 
Yaani wamefaulu 99.95% yeye ndo kafeli?
 
Mwambie hata bimkubwa chura kiziwi alizungusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…