Uchaguzi 2020 Ndugu yetu Tundu Lissu, KUBALI matokeo na ujipange safari ijayo

Chadema na wapinzani wala msifikirie kuhusu katiba mpya kwa sasa. Bunge hilo feki lijalo halitaruhusu hilo. Ni kutumia nguvu tu ya umma. Kubalini kulipa hiyo gharama ya mateso! Kujifungua kwa mama kuna utungu ambao mama hawezi kuzaa bila kupitia hatua hiyo. Kuna utungu katika kuizaa Tz mpya. You have come to this leadership position at such time like this. Historia inataka kuandika majina yenu. Take charge. Umma umesimama nyuma yenu unangoja maono yenu.
 
Uchaguzi haukuwa huru na haki hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Namba 3 kiongozi gani anajinyima na kuijenga Nchi? Ujenzi upi? Kwani miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ni mojawapo ya mradi wa kifisadi, ununuzi wa Ndege ana 10% zake hakuna mradi asiojinufaisha binafsi na watu wake, kwa kifupi CCM ni ile ile ukoo wa panya baba mama watoto ni wezi
 
Aiseeeh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ni cheke tu kwasaabu ndugu yangu unafurahisha kweli kweli.
 
Huu ujinga wenu wa kutengeneza propaganda za kishamba kijinga jinga mkizani watanzania ni wajinga kama nyinyi ndiyo umewakosesha kura mpaka mkaamua kuunajisi kuulawiti na kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani, mifano yako ya SMG ni mifano ya kijuha ni mtu mbumbumbu zuzu kama wewe anaweza kukaa kuamini ujinga wako.
 
Watu wenyewe wengi wao hawaishi nchini. Wamekalia kubonyeza keyboard tu usiku na mchana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ni cheke tu kwasaabu ndugu yangu unafurahisha kweli kweli.
CCM hakuna msafi hakuna malaika CCM kila mmoja ni mpigaji kwa fursa zake ndiyo maana Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Pesa za viwanda za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kuwapiga risasi wapinzani na sasa zingine zimetumika kubaka sanduku na kura kwa njia haramu za kishetani.
 
Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
CCM wameamua kumuachia ingawa wangeweza kumpora kama walivyopora sehemu zingine kwa njia haramu za kishetani
 
Alifikiri Watanzania ni wajinga . Khe khe khe khe khe
 
Sawa sawa ndugu, Ila utaumbuka siku moja na utajiona mjinga kuliko[emoji38]. Lakini Usichukie mzee huu mjadala tu [emoji38].
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani tu
 
Watu wenyewe wengi wao hawaishi nchini. Wamekalia kubonyeza keyboard tu usiku na mchana.
Keyboard ya manufaa sio za kuchagua nchi kwankutaka umwagaji damu ili wao waje nchini Kwetu. Mfano USA, FB walipo minya na ilipoingilia uchaguzi wao 2018 Mtanzania gani alienda kuwahoji. Be realistic bana msiongee tu basi. Wazungu wakae kwao huko waje kutembea na kurudi makwao sio kututaka kuanzisha ushenzi nchini Kwetu.
 
Hakuna uchaguzi Tanzania CCM imefanya vioja maigizo kuuhadaa ulimwengu kuwa kuna uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…