Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Unasubiria nini kumwavha?
Mwanamke akikypa masharti halafu akwambie ukishindwa muachane...maliza kazi mapema
 
Kwanza Hana adabu anakuonesha dharau
Mwanamke lazima amueshimu anaempenda
 
sio dharau tu, anaonekana ana sauti kwa jamaa, yaani jamaa ameonyesha kuwa anampenda sana, ndio maana anamjambisha et tuachane kah! mil 2.6 ndogo? wakat kuna wenzake huwa wanaanza kuishi kwanza na wanazaa kabisa ndio mahari zinaenda

Hakuna upendo hapo
 
Ana 24 wazazi wake wanataka 4m yeye amepunguza mpaka 2.6m kisa anadai 1m sio Thamani yake
alaah.! hamna mke garasa hilo muache haraka..kama anakwambia 1m sio thamani yake kwahoyo hio m 2.6 ndio thamani yake..sasa ukishamuoa na thamani yake ameiweka kwenye pesa vp akitokea tajiri mwenye pesa kukuzidi akamuhonga japo milion 5 au akihongwa nyumba,gari na pesa amzalie mtu hakatai huyo..mwanamke anapenda maisha ya juu na kutrend na kufuja pesa atakutia umaskini tu mbaya zaidi hizo ndoa zenu za kanisani hata ukiingia chaka kuivunja kwa maumivu na gharama kubwa ..achana na kupe hilo
 
Mahali au Mahari? Anakupenda wakati kakwambia kama Vipi muachane? Muache hutakufa
 
Kenge huyo...aende zake. Mbususu zipo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…