Mkuu mimi nitakushauri biashara ambayo haihitaji mtaji iko hivinataman sana japo biashara cna uzoef nazo nmezoea tu unaitiw dil unapg jion unachkua chako unasep
Mkuu ulimchangia shngap? Ukahis umetapeliwa weka namba yako hapa na kias ulichotapeliwa nikurudishie...caz jamaa hakuomba pesa...kaomba kibarua...kwa nn umfanyie hivyo...weka kias nakurefund..sio kwa matusi hayo uliyo mtukanaBuguruni sokoni pale ukibeba mzigo unapewa Hela nenda kafanye kazi acha kutuletea huruma yako ya kisanii hapa
nashkur sanMkuu mimi nitakushauri biashara ambayo haihitaji mtaji iko hivi
Tafuta wakala wa mitandao(wale wanaodeal na usajili wa laini) mwambie akutengenezee code za usajili tigo, voda, halo na airtel
Ukitoka hapo atakupa na laini za kuanzia ingia mtaani komaa hela ya kula utapata humohumo na mwisho wa mwezi hukosi chochote
Kwa kuanza utaona sio kazi ila baada ya miezi 4 matunda utayaona kikubwa uwe muaminifu na usiendekeze tamaa nakutakia utekelezaji mwema
Hii kazi watu wana idharau ila ina pesa sana hasa kwa halotelMkuu mimi nitakushauri biashara ambayo haihitaji mtaji iko hivi
Tafuta wakala wa mitandao(wale wanaodeal na usajili wa laini) mwambie akutengenezee code za usajili tigo, voda, halo na airtel
Ukitoka hapo atakupa na laini za kuanzia ingia mtaani komaa hela ya kula utapata humohumo na mwisho wa mwezi hukosi chochote
Kwa kuanza utaona sio kazi ila baada ya miezi 4 matunda utayaona kikubwa uwe muaminifu na usiendekeze tamaa nakutakia utekelezaji mwema
Kuna mtu ana ajira kabisa na kuna muda anakwama anakosa hata pesa ya kula,itakua huyo kijana ambae bado anajitqfuta, kuna watu wengine hawajawai lala njaa, kwa hiyo ukimwambia habari za njaa anakushangaa sana!!We jama utakua unajua na kuelewa maisha, watu wengine wa nadhani ni masikhara kumbe jama ana njaa kabisa.
Mpandishie mshahara basiLife is full of ups and downs.
Kwa hiyo unazani huyo dogo atatajirika kwa hiyo buku sita!?Hawa watu wamegundua kwamba ukiingia JF unapata Pesa JF kuna watu wasiojielewa washaisoma JF ilivyo kwa Muda kwa hio anajua nikija na Gia fulani nikaweka Namba wadau wataweka Hela na umekua ni Mchezo, sijui unanielewa? Na humu watu walivyochotwa Akili wanajaza Hela tu stupid all of you ambao mmeweka Hela ni wajinga mnaweka Hela kabla ya kuhoji eti kisa mtu katiatia huruma?
Mkuu hiyo kazi ni ngumu sana lakini ukikomaa ina pesa hata mwalimu wa daraja la IIIC hakupatiHii kazi watu wana idharau ila ina pesa sana hasa kwa halotel
😁😁Mpandishie mshahara basi
Acha apate kibarua kwanza.Mpandishie mshahara basi
Pambana mkuu ili kesho usirudi humu kama anavyosema member hapo hata kama siyo kwelinashkur san
Mkuu nakumbuka kitambo nishawahi kwendaga ila nikafel kisa smartphone ntajarb tenaMkuu hiyo kazi ni ngumu sana lakini ukikomaa ina pesa hata mwalimu wa daraja la IIIC hakupati
InshaallahPambana mkuu ili kesho usirudi humu kama anavyosema member hapo hata kama siyo kweli
🤣🤣tatzo c wengn wapole sana tukiwaza vurugu lake tunaon haiwezeknNenda hoteli yoyote agiza msosi wa maana ikiwezekana kuku mzima kula ukimaliza waambie nimedondosha hela utapewa vyombo uoshe hapo tayari unakua umepata msosi na kazi ila msosi ndo unatangulia
Hii ni sawa na wiziNenda hoteli yoyote agiza msosi wa maana ikiwezekana kuku mzima kula ukimaliza waambie nimedondosha hela utapewa vyombo uoshe hapo tayari unakua umepata msosi na kazi ila msosi ndo unatangulia
Kufa na njaa ni dhambi mkuu labda uwe jangwani ila upo mjini? We kula hoteli yoyote kunywa na juice na maji makubwa ukimaliza unajisachi unawaambia umedondosha wallet unapewa rundo la vyombo unaosha kiroho safi🤣🤣tatzo c wengn wapole sana tukiwaza vurugu lake tunaon haiwezekn
nilikuwa sijafikia hatua ya kufa mkuu ila tu nlkuw najiulz bila kupata kibarua cha haraka na kesho c ndo hali hiihiiKufa na njaa ni dhambi mkuu labda uwe jangwani ila upo mjini? We kula hoteli yoyote kunywa na juice na maji makubwa ukimaliza unajisachi unawaambia umedondosha wallet unapewa rundo la vyombo unaosha kiroho safi
Watu hawapendi kuambiwa ukweli, kuna kazi ya kutembeza vyombo huku, vipi uko tayari?Watu mna masimango eeeh