Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Asante kwa huu mrejesho mzuri toka kwako Mkuu
 
Dah...Ila unaweza kudhuru wengine?

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...Ila unaweza kudhuru wengine?

Sent using Beretta ARX 160
Mkuu watu Kama Sisi hatuwezi kudhuru wengine maana virusi havikai kwetu.. tunavi resist. Yani ile uume ukiingia kwenye Uke wenye HIV tayari mwili unaproduce Kinga iliyotukuka Hadi kwenye Kichwa Cha uume ambapo vinadedia hapo hapo!
 
Dah...Ila unaweza kudhuru wengine?

Sent using Beretta ARX 160
Mkuu watu Kama Sisi hatuwezi kudhuru weng Iine maana virusi havikai kwetu.. tunavi resist. Yani ile uume ukiingia kwenye Uke wenye HIV tayari mwili unaproduce Kinga iliyotukuka Hadi kwenye Kichwa Cha uume ambapo vinadedia hapo hapo!
 
kapime tena baada ya miezi mitatu,majibu utakayopata utalazimika usubiri tena miezi mitatu na kama utakua salama basi mshukuru Mwenyezi Mungu.

Kwakua mpo wawili,omba Mungu mwenzako awe na moyo kama huo wa kujitunza.Epuka migogoro ya kimapenzi na visasi vyake maana hivyo ndio hupelekea kuleteana magonjwa kwakua mtasalitiana.

Jaribu uwezavyo kujitunza pia ukumbuke kumuomba Mungu akuepushie maana sio kila tatizo utaweza kulikimbia wewe kwa akili zako. Muachie Mungu aamue kwa wakati wake,uzima wako si kwa akili na uwezo wako ila mwenyezi Mungu

Mkorintho wa 6
 
Mimi sintosahau nilivyokoswa koswa na Ngoma. Kuna demu nilimtokea mlokole kweli kweli, tongoza nawewe tongoza, mpk akakubali. Siku ya mechi tukapanga, nkaingia gheto na vipimo vya HIV, na condom. Hlf nilikuwa na nyegezi kinoma, nikajiambia huu muda wa kupima wkt nimemtoa mbali kutongoza naupata wapi, nikachukua ndomu kuanza show ya kibabe, piga na wewe. Baada ya kupita km SAA 2 nkajiambia ni muda wa kupiga kavu, nkaona nimpime kwanza. Kumpima kipimo kikasoma positive nilichanganyikiwa, nkaangalia kondomu nilizotumia zikawa zinadamu, yaani msuguo mpk damu zikawa zinatoka ukitoa kondomu. Nilichoamua nkamwambia demu nna dharula job, we sepa. Alivyosepa nkalala kuvuta pumzi kuanza fikiria jeneza, nkaona isiwe tabu nkatafta PEP fasta nilikuwa nazo krb nkaanza dozi, ilikuwa 2017 sintosahau. Miezi 6 kupima negative, mpk Leo tangu siku ile nimeacha uhuni nakumjudge mtu kisa mwenye dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu,wanaume tukiwa tunahitaji pampuchi huwa tuko wapole sana,anaweza kukuagiza mahali na ukaenda mbio,siku umegegeda sasa hiiiiiiiiiiiii(in jiwe voice)

Never say never
 
Like serious?...Basi una bahati sana[emoji1690]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…