msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
The late capt. John komba aliwahi kuimba nyimbo kuhusu hili janga..uliitwa" mgeni"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sawa BossMwachie aliyeitengeneza mbona vinywaji vipo vingi tu
Sawa chief[emoji122][emoji122]Mimi huwa napenda kutoa shukrani za uso kwa uso. Za humu jf huwa hazifiki ipasavyo.
Hadi Sasa Mimi na wewe tunaingia kwenye ile asilimia nne ya watu duniani tusio na CCR5 receptorsNina condition moja wanaita INNATE RESISTANCE TO HIV(IRH) hii inatokana na mimi kukosa receptor protein ijulikanayo kama CCR5-delta 32 kwenye seli hai nyeupe ambayo ndo huwa inatumika kama kihisishi cha magonjwa na pia ndiyo njia ambayo HIV anatumia kuingia ndani ya seli hai nyeupe na kuzidhuru mimi kutokuwa nayo ina maana hakuna njia ya kirusi kuingia ndani ya seli hai nyeupe hivyo napata virusi kwa muda kisha vinaondoka pindi seli zikimaliza mzunguko wake .Kiufupi HIV HANIDHURU.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂
Nikiumwa huu ugonjwa najimaliza tu, siwapi nafasi virusi wanitese.
Mkuu mbona unajisusa[emoji16][emoji16][emoji134]Kufa nitakufa tu. My existence is meaningless in the context of the wide world.
Nyie itabidi tuwanyonye bone marrow zenu kwa ajili ya vaccine ya hi kitu.Hadi Sasa Mimi na wewe tunaingia kwenye ile asilimia nne ya watu duniani tusio na CCR5 receptors
Hizo ulizotaja ni side effects za dawa ambapo hiyo kuota mandoto mabaya ni hallucinations inayotokana baada ya kunywa dawa side effects au adverse effects ziko nyingi sana.Mkuu umenena vizuri...
Kuna dada mmoja shost alinambia kabisa kuwa hiyo ni noma sana!
Kwanza vile vidonge ni vikubwa halafu vichungu, pili ukilala ni unaota ndoto mbaya kupita kiasi, mfano unaota uko jehanam unachomwa moto, au unakatwa katwa mapanga, ukiumwa kidogo tu hata kama mafua full kukupelekesha kama umeumwa kitu kikubwa!....kiufupi alisema ni ule ugonjwa ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehe.... Utapata presha bure..... Jiandae kisaikolojia.... Nenda kapime.Mkuu naomba dalili za kujua ninao tafadhali????? Kabla atujaenda huko hospital