Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

True
Nimezika ndugu, jamaa na marafiki kisa hii kitu.
Worst part ni mateso anayo pitia mhanga!
 
Kwa siku tathimini inaonesha kuwa zaidi ya vijana 200 kwa siku nchini Tanzania wanapata maambukizi tumwombe sana kwa wasio nao ila kwa wenye nao pia nawasihi muishi kwa amani zote na mpende wasio nao yaani msieneze kwa makusudi ili tufanane please please ukifanya hivyo wewe ni sawa na muuaji hukumu ya kusubiri...MUNGU twahitaji rehema zako sisi kizazi cha zinaa na nyoka
 
Nina condition moja wanaita INNATE RESISTANCE TO HIV(IRH) hii inatokana na mimi kukosa receptor protein ijulikanayo kama CCR5-delta 32 kwenye seli hai nyeupe ambayo ndo huwa inatumika kama kihisishi cha magonjwa na pia ndiyo njia ambayo HIV anatumia kuingia ndani ya seli hai nyeupe na kuzidhuru mimi kutokuwa nayo ina maana hakuna njia ya kirusi kuingia ndani ya seli hai nyeupe hivyo napata virusi kwa muda kisha vinaondoka pindi seli zikimaliza mzunguko wake .Kiufupi HIV HANIDHURU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi Sasa Mimi na wewe tunaingia kwenye ile asilimia nne ya watu duniani tusio na CCR5 receptors
 
Inauma Sana TAKWIMU zikiletwa zikaonyesha Mkoa wako maambukizi Ni asilimia 4-5 halafu wewe uwe miongoni mean hizo asilimia chache hivyo!

Tulio salama tusiwe na Tamaa ya Mwili, Tamaa ya Macho na Kiburi Cha Uzima.

Ee Bwana Mikononi mwako naiweka Roho Yangu!
 
I am keeping on trying to be a better man, trying to change things and habits which are dangerous to my health. But above all, I am thanking God because I am what I am for his unceasing blessings.

I have seen people who they didn’t have risk behaviors catching the disease, I have seen kids getting the disease from their parents, and I have seen those with risk behaviors and got the bug.

And This is not only for HIV, But We also have to quit behaviors which increase our risk of getting other diseases like cancer, heart disease e.t.c.

We have to start eating healthy foods, quit smoking cigarettes, quit drinking alcohol( or drinking in moderation), and start exercising. To summarize, we have to invest in our health; our health has to be the first priority.

Take home message is, don’t assume that because you know HIV status of someone then you know everything about him/her.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwakel huu Uzi mgumu acha na Mimi nimwage info kidogo nina records nying za hospital mbalimbali nilizopita kuhudumia wagonjwa wa ukimwi mwanzoni naanza sikuwa sawa kiakili kuamini hadi mrembo huyu

Ugumu ulianza siku kutoa ushauri kwa mdada mzuri anaeanza tumia anti retroviral drugs kwa muda wa siku kumi na NNE alikuwa kashakata tamaa kabisa

Ila sahivi na urafiki nao wengi kwa ajili ya monitoring ila wengi ilikuwa ni ile hali ya uzembe kidogo kuchukulia vitu poa.
 
Mkuu umenena vizuri...

Kuna dada mmoja shost alinambia kabisa kuwa hiyo ni noma sana!

Kwanza vile vidonge ni vikubwa halafu vichungu, pili ukilala ni unaota ndoto mbaya kupita kiasi, mfano unaota uko jehanam unachomwa moto, au unakatwa katwa mapanga, ukiumwa kidogo tu hata kama mafua full kukupelekesha kama umeumwa kitu kikubwa!....kiufupi alisema ni ule ugonjwa ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ulizotaja ni side effects za dawa ambapo hiyo kuota mandoto mabaya ni hallucinations inayotokana baada ya kunywa dawa side effects au adverse effects ziko nyingi sana.
 
Ukimwi upo na unaua juzi nimezika brother angu.....japo alisumbua kunywa dawa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom