Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Ikiwa hatujazaa,kwa mfano nikidate na mdada kama Mallerina na ndio mtu ambaye anaujua ukweli wangu.inakiwaje?
 
Hapo usikubali kulipa zaidi ya milion 3
Kwa uelewa wangu ni kwamba uchagani utamaduni wa kutoa mahari umepungua sana ukifananisha na makabila mengine. Halafu wachaga wako jamii tofauti na kila moja ina mila na desturi zake na hata pia kuhusu namna na kiasi cha mahari. Na zaidi mahari inaweza kutolewa kwa kipindi cha muda mrefu... hata miaka 30 na wengine hawatoi kabisa.
 
Mallerina kama iko hivi,nadhani hakuna la ziada kuhusu wewe.
 
Basi inawezekana nina experience ya tofauti nao. kuna jamaa yangu huku Babati alitaka kuoa mkibosho wakati huo alikuwa jobless ili ana ujuzi wa mambo fulani, sasa familia aliyotaka kuoa aliambiwa atoe mahari milion 7.
kuweza kuipata hiyo milion 7, ilimbidi afanye kazi fulani kwenye hiyo hiyo familia ili kupata hela ya mahari na alipoipata hiyo milion 7 yote ikaishia kwenye masuala ya kuchumbia na ndoa. Kwa sasa imemlazimu awe mmoja ya wafanyakazi kwenye hiyo familia ya wakwe zake kutokana na mfumo wa hiyo familia ulivyo.
 
Wanaume kazi tunayo,na hapo bado chakula cha usiku unaenda kupewa kwa mgao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…