Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Kibosho bado wana mambo ya mila za kizamani-zamani. Nadhani katika jamii ya wachaga wote, wao bado wanaendekeza ya kale. Nakumbuka kama miaka 15 iliyopita kuna mdada mmoja alipata mchumba wakamwambia asubiri ''atahiriwe'' kwanza. Sijui sasa lakini najua bado walikuwa na mila za kukeketa wanawake. Utasikia wanasema ''kiruu.. sasa usipokikata ukichuchumaa kukojoa si kitagusa kwenye udongo''
 
Ikiwa hatujazaa,kwa mfano nikidate na mdada kama Mallerina na ndio mtu ambaye anaujua ukweli wangu.inakiwaje?
Mkuu; Neno "kudate" limekaa kama mihadi au ahadi fulani ya kutimiziana jambo fulani baina ya watu wawili na kwa Mukhtadha wa hoja yetu ni ahadi ya kuweka mambo sawa yatakayo ishia kwenye Mahusiano na mambo ya kingono. Lakini katika hoja ya kuoa au kuishi pamoja kama Mume na Mke aghalabu sharti Jamii au Familia (Ukoo) kutoka pande mbili zihusike.
Huyo Mallerina wako bila shaka naye asingependa ajiingize kwenye aina ya Mahusiano yanayolenga Kukufaidisha ww au kumtumia kama chombo cha starehe zako.
 
N
i kweli unachokisema na nimekuelewa kinaga ubaga mkuu.Asante kwa mchango wako wa elimu Sir,Ni matumaini yangu tutaendelea kukutana katika majukwaa ya kielimu.

Tuko pamoja sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…