Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Uzuri we mkristo mwenzao,,,lakini utashangaa walivyo mazuzu watawatukana waislam wakati mada umeleta mkristo mwezao
Sasa kama haikuhusu umejibu kama nani?? Au ulihamia uislamu kisa demu wako muislam ila kiroho upo ukristo?? Kujibu yasiyokuhusu ni sehemu ya utovu wa nidhamu
 

Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa
 
Mnaonaje kila mtu akakaa kwake ili msichokane??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…