Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Watakutumia Unidentified Moving Objects (UMO)
Nimekupa like bila kuwa na uhakika kama taarifa hii ni ya kweli au lahasha!😅

Everyday is Saturday................................😎
 
Nimekupa like bila kuwa na uhakika kama taarifa hii ni ya kweli au lahasha![emoji28]

Everyday is Saturday................................😎
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tunafurahi comedian wetu katka serikali tukufu ya stone
 
Tanzagiza mtu amesomea uganga wa kupiga ramli anapewa uwaziri miundombinu.

Kwahiyo uo mziki tutauchezea club 84 au billicanas.
Kwake kigamboni deadline ya shida ya maji lini
 
Kula like!

Halafu sina uhakika na taarifa za ulichopost kama ni za kweli au la. [emoji23] [emoji28]

Everyday is Saturday................................😎
Mkuu wewe kila taarifa una uhakika nazo... Ninawasiwasi na uraia wako [emoji1787]
 
Waziri aache ujinga kupambana na wananchi wanao eleweka wanataka nini.

Wao viongozi ndiyo hawaeleweki kila anayesimama anasema la kwake juu ya korona na vifo vya watanzania.

Kama wao wamepata chanjo basi wawaache watanzania nao washee taarifa zitakazowasaidia kuchukua tahadhari

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Serikali haina kazi za kufanya ndiyo maana inatumia muda mwingi kufanya upuuzi
 
Kuna memba mmoja humu anajiita "Mgonga Like" nahisi atakuwa wakwanza kwenda segedansi.
 
Mkuu wewe kila taarifa una uhakika nazo... Ninawasiwasi na uraia wako [emoji1787]
Mie ni mnyarubanja tokea Ngoni migration, tulikaa Misri utumwani sasa tuko Kanani nchi ya asali na maziwa!
Usiponielewa ujue umeelewa 😅 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom