Unaweza kuthibitisha kama ni mali ya selikali?Waziri mkuu anatumia rasilimali za kiserikali kufanya kampeni kwa ajili ya Magufuli
Misafara anayotembea nayo Kassim Majaliwa kwenye kampeni ikiwemo walinzi, muda, madereva vyote hivyo ni mali ya serikali havipaswi kutumika kwa ajili ya kumkampenia Mtu maana vinampa mgombea wake unfair advantage dhidi ya wagombea wengine na wote ni Watanzania!
Kwenye jimbo pia kuna timu, kwahiyo Majaliwa yuko kwenye timu ya majimbo yote?Ratiba zipi?
Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?
Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Kwani kuna shida?Kwenye jimbo pia kuna timu, kwahiyo Majaliwa yuko kwenye timu ya majimbo yote?
Katiba inamzuia kuwa muelewa.Waziri mkuu yuko kwenye mtiririko huo
Unaweza kuthibitisha kama ni mali ya selikali?
Vipi kama ccm ndio inatoa hela za vyote hivyo?
Kwahiyo hata Magu nae anapaswa kukaa ofisini kufanya shughuli za selikali aachane na kampeni azifanye muda wa ziada?CCM ndo inampa rasilimali MUDA?
Waziri mkuu badala ya kutumia muda wake ofisini kufanya mambo ya nchi tunayomlipa mshahara kila mwezi, yeye yupo anatuibia muda wetu wa kazi kufanya mambo ya chama!
Hata kama CCM ndo ingekuwa inamuwezesha kwa kumgharamia, alipaswa kufanya mambo ya chama nje ya muda wa kazi!
Wananchi wanashindwa kupata huduma za waziri mkuu kwa sababu yuko kwenye kampeni za siasa tena za mtu mwingine!
Naona unajitahidi sana kutetea usichokijua! Usingechangia chochote kwenye uzi huuKwani kuna shida?
Ndio maana tunawambia wengi humu mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.
Lowasa alikuwa na kampeni ya nguvu sana 2015 kuna timu zilijigawa kila kanda.
Mbowe, Lema na kina Msigwa wote waliacha majimbo yao na kuzunguka huku na huko kumnadi EL.
.
Safari hii chadema haina hela ndio maana unaona Lisu kabaki ana hangaika peke yake, usifikiri anafuata kanuni za uchaguzi hapana ni hela hana, angekuwa nazo kama EL 2015 ungeona timu za kampeni kila kona.
We ndo umetoa ufafanuzi au tume. Basi kama ni tume Magufuli ameteua wasiofaa kwenye tumeNEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1.Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a))
2.Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
Kwanini wewe usiweke unachokijua ili umbumbumbu wangu uondoke?Naona unajitahidi sana kutetea usichokijua! Usingechangia chochote kwenye uzi huu, ungekuwa umeuficha UMBUMBUMBU wako!
Kwahiyo hata Magu nae anapaswa kukaa ofisini kufanya shughuli za selikali aachane na kampeni azifanye muda wa ziada?
Kwahiyo huwezi kutofautisha gari za serikali ( waziri) na gari za chama cha siasa (CCM).?Unaweza kuthibitisha kama ni mali ya selikali?
Vipi kama ccm ndio inatoa hela za vyote hivyo?
Ndio sheria inavyosema au unataka iwe hivyo kwa busara zako tu?Magu na Mama Samia ndo wagombea wenyewe wanasaka kura nchi nzima, hawa wana exception.
Sasa kwenye hierarchy ya serikali Waziri mkuu ni wa tatu, Sasa kama wale wawili wako Field kusaka kura, huyu wa tatu kwa nini asitulie ofisini kuendesha nchi ukizingatia kuwa anachokifanya hajitafutii yeye kura anatafutia wengine
hoja ni waziri mkuu ndo inatakiwa majibu sio blablaTukiwambia Lisu ni debe tupu anaetumia ukiazi wa washabiki wake kuwadanganya mnabisha.
Kwahiyo hivyo vifungu yeye Lisu hakuvisoma?
Wamejibu wapi?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1.Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a))
2.Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
Kwahiyo unaweza kutuwekea ushahidi hapa wa kwamba waziri mkuu anatumia hari za selikali na si za ccm?Kwahiyo huwezi kutofautisha gari za serikali ( waziri) na gari za chama cha siasa (CCM).?
2015 waziri gani alizunguka na Lowassa kwenye kampeni??Jibu unalotafuta hapo ni lile la wanafunzi wa darasa la pili. Aliyeko la saba anaelewa sana, ukimuuliza baba yako ni nani, akisema huyu ni mume wa mama inatosha. Yaonekana Lissu hakujua hilo na hakuitumia nafasi hiyo kwa uzembe. Sijui kwa nini hakujiuliza 2015 waliomsindikiza Lowasa walikuwa wanatafuta nini!
Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1.Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a))
2.Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1)(b));
leta vifungu vya sheria ya uchaguzi inayokiukwa na waziri mkuu.hoja ni waziri mkuu ndo inatakiwa majibu sio blabla