Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Unaweza kuthibitisha kama ni mali ya selikali?Waziri mkuu anatumia rasilimali za kiserikali kufanya kampeni kwa ajili ya Magufuli
Misafara anayotembea nayo Kassim Majaliwa kwenye kampeni ikiwemo walinzi, muda, madereva vyote hivyo ni mali ya serikali havipaswi kutumika kwa ajili ya kumkampenia Mtu maana vinampa mgombea wake unfair advantage dhidi ya wagombea wengine na wote ni Watanzania!
Vipi kama ccm ndio inatoa hela za vyote hivyo?