Wengi tu. Leo Illboru ina division One 100 na Two moja. Hawana 3,4 na Zero. Unaenda kumlinganisha na shule ya kata Chinyika iliyopo Mpwapwa vijijini na unampa zawadi Mkuu wa shule na mwanafunzi aliyefanya vizuri obvious ni yule wa Ilboru. Unategemea mpaka Masiah arudi zawadi au sifa za kutangazwa kwamba shule x na mwanafunzi y wametoka Chinyika itakuja kutokea?Kumbe wengi tuu walikuwa hawaipendi hii kitu.
Sasa Mjomba hata hizo "division" si zinajieleza tu??? Mfano mzuri ni matokeo ya "FEZA GIRLS" - watoto wote wana "Div 1 (One)", na wengi tu wana Div 1 (one) ya "Point 7", sasa hapo watashindwaje kujitangaza??? Hilo ni tangazo la kutosha; Kwa kifupi watawapa shida wale wazazi waliozea kusubiri kutangaziwa na shule, kwa mzazi anaetafuta shule kupitia matokeo ya "NECTA" - bado anaweza kuona shule bora ni ipi.Matangazo yalivyokua
"Shule imekua ya 65 kitaifa, mlete mwanao kwenye ufaulu bora"
Matangazo ya shule za private yatakua kama ifuatavyo
"Shule ina bembea za kisasa walimu warembo, uwanja mkubwa wa mpira, ewe mzazi unangoja nini kumleta mwanao sasa acheze mpaka asaze" 😂
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne
Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule
"Unamtaja mtu kwamba ameongoza katika kundi ambalo pamoja na kwamba wamefanya mtihani huo huo lakini hawakusoma katika mazingira yanayofanana, alafu sasa unampa sifa mtu mmoja"
Kuhusu kumtangaza mwanafunzi bora wa mtihani huo amesema hakuna tija katika hilo kwani hauwezi kumtangaza mwanafunzi mmoja katika ya wanafunzi wote Tanzania ambao huenda pia mazingira yao ya kusoma yalikuwa tofauti
Chanzo: EA Radio
Sidhani mkuu, bunge letu halina hata huo weledi.Hayo ni maamuzi ya Baraza la Mawaziri, yeye kapewa maelekezo tu
Waweke ada ya kutangaza majina ya shule zilizofanya vizuri tukusanye mapato😂🤣🤣Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne
Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule
"Unamtaja mtu kwamba ameongoza katika kundi ambalo pamoja na kwamba wamefanya mtihani huo huo lakini hawakusoma katika mazingira yanayofanana, alafu sasa unampa sifa mtu mmoja"
Kuhusu kumtangaza mwanafunzi bora wa mtihani huo amesema hakuna tija katika hilo kwani hauwezi kumtangaza mwanafunzi mmoja katika ya wanafunzi wote Tanzania ambao huenda pia mazingira yao ya kusoma yalikuwa tofauti
Chanzo: EA Radio
Ahmes wana OneWengi tu. Leo Illboru ina division One 100 na Two moja. Hawana 3,4 na Zero. Unaenda kumlinganisha na shule ya kata Chinyika iliyopo Mpwapwa vijijini na unampa ?