NECTA yaacha Utaratibu wa Kutangaza Wanafunzi bora na Shule bora kwa Kidato cha 4

Hebu tuhabarishe zaidi kuhusu hiyo MEWAKA mkuu.
 
Wizara ya elimu iamue shule zitumie lugha moja ya kufundishia kuanzia elimu ya msingi mpaka chuo kikuu. Hii ya kubadili gear angani ndio chanzo cha ubovu wa elimu yetu.
Mitaala mibovu, we unalaumu Lugha🤣🤣
 
Kisa wameona nmepiga one ya 7 ningeweza kuwa hata top ten niwanyooshe watu ndo wamefuta watu wapuuzi sn
 

Imagine zamani ukitamani baadhi ya shule unajua kabisa lazma usome sana ili uzipate

Na shule au mkoa ukiwa wa mwisho, wahusika huwa wanaongeza nguvu ili waepuke hiyo aibu

Tukitoa hii kitu lazma kuwe na kitu kingine cha kuwapa waalimu na wanafunzi ari ya kufanya vizuri

Na hii inawezekana kuonekana kama itaathiri shule za private tu lakini kuna za serikali kama kibaha, mzumbe, ilboru etc ambazo zitaondolewa ule msisimko wake pia
 
Safi
 
Haya ni matokeo ya kuwa na viongozi wenye elimu ya kuungaunga. Shule nyingi zilizokuwa zikishika mkia zina uhusiano na walio madarakani hivyo wamefanya hivyo kwa lengo la ubaguzi hasa udini
 
Shule za Pemba Kaskazini na Makunduchi watakuwa wamefurahi sana
 
Kaingia Shekhe pale NECTA kaletewa Mkeka wa TO kaona ni majina ya VATICAN tupu ikabidi apige chini huo utaratibu. Shule zooote za Mwisho ni shule za Dini yake ataanzia wapi kuzitangaza ni ovyo.
Hio utaratibu ulileta hamasa ya watoto kusoma kwa bidii ili watambulike kama TO sidhan kama kulikua na ubaya wowote basi hatuna maono na vitu vya msingi
 
upumbavu tu
kama unatambua watu wanatoka mazingira tofauti kwa nn uweke mtihani mmoja kwa wote

kama vp kila shule ipewe mtihani wake, unatoa mtihani alafu utaki sema ufaulu ukoje
ukweli utabaki shule za serikali ni tia maji tia maji
 
Hahahah ule utaratibu haukuwa Sahihi bhana, watu wanahangaika kupata mitihani ili wapate ufaulu wa juu na kukuza biashara.
 
upumbavu tu
kama unatambua watu wanatoka mazingira tofauti kwa nn uweke mtihani mmoja kwa wote

kama vp kila shule ipewe mtihani wake, unatoa mtihani alafu utaki sema ufaulu ukoje
ukweli utabaki shule za serikali ni tia maji tia maji
Exactly..

Unawapima kwa mtihani sawa then unaogopa kutangaza ranking kisa wanatokea mazingira tofauti..kwanini waweke mtihani mmoja kwa wote sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…