NECTA yaacha Utaratibu wa Kutangaza Wanafunzi bora na Shule bora kwa Kidato cha 4

NECTA yaacha Utaratibu wa Kutangaza Wanafunzi bora na Shule bora kwa Kidato cha 4

Dah. Wengine tuliutafuta uTO kwa udi na uvumba tukachemka.
Darasa letu la form six PCB liligeuka bweni. Watu walihamishia hadi mabegi darasani. Sahani, pasi, ndoo za kuogea zote zilihamia darasani. Hadi mashuka tulikuwa tunafua na kuanikia darasani.
Kuna siku hadi mwalimu alikataa kufundisha maana darasa halikuwa na muonekano wa darasa.
🤣🤣🤣🤣 mimi binafsi maisha ya Advanced nili enjoy sana na PCM yangu, sikuwahi kuingia darasani isipokuwa siku za mitihani tu, Mtihani wa Mock nikalamba Sifuri safi, madogo wa form five wakaanza kunicheka sana, niliwaambia mimi natafuta div 3 tu ya point 13 nikasome zangu DIT, kama miujiza vile Necta form 6 nikapata 3.13 madogo walionicheka ndio wakawa wakwanza kunitumia matokeo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi binafsi maisha ya Advanced nili enjoy sana na PCM yangu, sikuwahi kuingia darasani isipokuwa siku za mitihani tu, Mtihani wa Mock nikalamba Sifuri safi, madogo wa form five wakaanza kunicheka sana, niliwaambia mimi natafuta div 3 tu ya point 13 nikasome zangu DIT, kama miujiza vile Necta form 6 nikapata 3.13 madogo walionicheka ndio wakawa wakwanza kunitumia matokeo
[emoji28][emoji28][emoji28] bahati yako uliipata credt za kwenda chuo.
 
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne

Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule

"Unamtaja mtu kwamba ameongoza katika kundi ambalo pamoja na kwamba wamefanya mtihani huo huo lakini hawakusoma katika mazingira yanayofanana, alafu sasa unampa sifa mtu mmoja"

Kuhusu kumtangaza mwanafunzi bora wa mtihani huo amesema hakuna tija katika hilo kwani hauwezi kumtangaza mwanafunzi mmoja katika ya wanafunzi wote Tanzania ambao huenda pia mazingira yao ya kusoma yalikuwa tofauti

Chanzo: EA Radio
Sio kuficha aibu ya Skuli zetu pendwa?
 
🤣🤣🤣🤣 mimi binafsi maisha ya Advanced nili enjoy sana na PCM yangu, sikuwahi kuingia darasani isipokuwa siku za mitihani tu, Mtihani wa Mock nikalamba Sifuri safi, madogo wa form five wakaanza kunicheka sana, niliwaambia mimi natafuta div 3 tu ya point 13 nikasome zangu DIT, kama miujiza vile Necta form 6 nikapata 3.13 madogo walionicheka ndio wakawa wakwanza kunitumia matokeo
Hujamaliza story..ikawaje sasa?
 
Back
Top Bottom