Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

mimi kwenye girlfriends sipo. nipo kwenye mke mmoja utakayetumia nguvu na uwezo wako wooote kumchapa hadi aridhike kiukweliukweli. ila kusema wake 4 wakusubiri kila mmoja wiki 3 ndio umgonge tena ukiwa umetoka kuchoshwa na wakewenza, hapo kwa kukufariji nitakubaliana na wewe ili moyo usikuume, ila ukweli ni kwamba mnagongewa ila kwa kujificha. ila kugongewa mnagonewa mazee.
 
Dunia inaendeshwa na wenye kipaji ,kisomo ni vitu vya ziada
ungeongeza na kwamba pamoja na kipaji, ila ni yule tu aliyekuwa exposed kwenye opportunity ndiye atafanikiwa. unaweza kuwa na kipaji kinachohitaji kusaidiwa na kisomo,kama kisomo huna kipaji chako utakihifadhi sandukuni.
 
Kongole kwake mwamba[emoji106][emoji109][emoji123][emoji1666][emoji117][emoji2956][emoji2956]
 
Hapo na bado anazaa,watafika 50.Malezi mema kwao..Neema kazaa saba.Mara nyingi kwenye uke wenza,wengi mnazaa sana sababu ya wivu tu,kukomeshana n.k
Na kukomeshana huko ndio furaha kwetu wanaume....

Mwanaume atafute hela tu mengine ni mepesi.....
 
[emoji2956]
 
Ni matumaini yangu kuwa hata Status zao za 1981 WHO Virus nazo ziko vizuri na kamwe hawaishi kwa Matumaini.
 
Kuna watu wana watoto kama kijiji umasaini huko...
 
Acha kukariri wewe! Kinachotakiwa ni kupanga ratiba nzuri, mfano mwanamke wa kwanza anakuwa na mtoto wa miezi miwili, wa pili anakuwa na mimba ya miezi sita wa tatu anakuwa na mimba ya miezi miwili wa nne anakuwa fresh. Vipi hapo huwamudu tu?
 
kwani mwanamke akiwa na mtoto kuanzia miezi 2 huwa hangonoki? hana ashiki? akiwa na mimba joto limeongezeka huwa hangonoki? au wewe ni wale unatia mimba afu hadi mtoto aache kunyonya ndio unarudi kwa mkeo, unachapiwa mzee. na akiwa na mimba, nani anakusaidia kutengeneza njia? au ndio umeacha yeye mwenyewe ajiongeze.
 
Acha kukariri wewe! Kinachotakiwa ni kupanga ratiba nzuri, mfano mwanamke wa kwanza anakuwa na mtoto wa miezi miwili, wa pili anakuwa na mimba ya miezi sita wa tatu anakuwa na mimba ya miezi miwili wa nne anakuwa fresh. Vipi hapo huwamudu tu?
iyo kitu ikiwa na mimba inachapwa hadi wiki mbili au moja kabla ya kujifungua. kama huwa huchapi, basi unachapiwa. akiwa na mtoto siku 60 zikiisha tu unachapa hadi mtoto aache kunyonya na akutane na mtoto mwenziwe. kwahiyo hayo hayaathiri hitaji lake la ngono.
 
Wewe na huyo mke mmoja unasomesha watoto wako English medium?
 
Wewe na huyo mke mmoja unasomesha watoto wako English medium?
ndio nasomesha watoto wangu wote english mediam, najua ninachoongea ndio maana nimeandika hivyo. wewe najua hujafikia kwenye hayo majukumu na ninachoongea hapa hukijui. usije kujichanganya. mtoto usipomsomesha vizuri umelea jambazi la baadaye au umelea mtu atakayekuwa anasubiria ufe arithi mali kwasababu hatakuwa na uwezo wa kutafuta za kwake. au akijitahidi kutafuta atatafuta kienyeji kwa kukuweka ndagu.
 
Hoja yako ilikuwa kuna watoto huenda siyo wake na hapo nimekuthibitishia kuwa siyo lazima iwe hivyo. Hao wenye mke mmoja wanachapiwa kupita maelezo kwa hiyo hoja yako haina mashiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…