Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Naunga mkono sera hii, kuna majengo ya serikali yaliyopo kwenye very prime area ila hali za majengo hayo ni pathetic!, hayakarabatiki, kilichobaki ni wapangaji wahamishwe, majengo yapigwe chini, vijengwe vitu vya maana vinavyoendana na eneo husika!.
Mchechu is very right!.
Usilinganishe jiji la Dar na London, Rome, Greece na Mji Mkongwe, zile ni ancient cities zenye majengo ya zamani yanayohifadhiwa!, tena kusema ukweli hata kuijenga Ikulu yetu ya Chamwino kwa ramani ya Ikulu ya Magogoni ni ... tuu!, tulipaswa kujenga an ultra modern structure sio ule mjengo wa kizamani wa Kiarabu uliojengwa pale Magogoni na Sultan of Zanzibar, Wajerumani wakataifisha, Waingereza wakakarabati, sisi Watanzania wa leo tunaiga mjengo wa karne iliyopita!.
Ushamba mwingine... ni kazi kwel kwel!.
Tubadilikeni jameni tuwe na foward looking atitude, tuachane na backward thinking!.
Subiria 7-11 itakapo kamilika!, hata Kenyatta Drive bado kuna takataka nyingi tuu ambazo hazipaswi kuwa sea side or sea front!, Mchechu is very right ataibadili Tanzanian iwe kama Dubai, Doha Acapulco au Miami!.
By the way Mkuu
Mayor Quimby ulibahatika kuiona hii kitu?
Bila watu kama Mchechu, who can dare, kitu kama hii inawezekana vipi?
P