Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

Mm naunga mkono wa kuvunja nyumba maeneo ambayo ni prime areas.....
Mfano kinondoni shamba.....ile ni prime area palitakiwa pavunjwe watu wafidiwe haiwezekani eneo ambalo ni prime likaachwa squatter

Ova
Hata mimi naunga mkono, haiwezekani mjini pakawa na vibanda visivyo mpangilio

Wajenge watu watapanga, maisha yatasogea
 
Hakuna anaepora usipotoshe..kama hakuna fidia hilo ni swala jingine Mnaweza dai ila Sio kupinga redevelopment kwa kisingizio cha unyonge..

By the way Wale wa kimala mliowabomolea mliwapa fidia? Au hawakuwa wanyonge?
Kawaulize wanasheria wao waliopeleka kesi mahakamani walishindwaje kuishauri mahakama yale maeneo sio road reserves au kwanini awakuishitaki halmashauri iliyotoa vibali vya ujenzi na kuwapimia ardhi raia.
 
Tena aje na kinondoni manyanya wazivunje zile kota zote wajenge kama za magomeni
Wakazi wa pale wapewe sehemu zao kwenye nyumba wakatazojenga
Kota zile ni uchafu tu

Ova
 
Wewe kama ni mnyonge tafuta maeneo ya wanyonge sio ukae eneo ambalo linaweza kuwa productive kwa kisingizio cha unyonge..

Ujinga wa dizaini hii haukubaliki.kwenye Dunia ya Sasa.
Kabisa wawatoe kabisa maeneo ambayo ni prime
Hao wanyonge waende huko nkizamana
Ila tu wawafidie mpunga

Ova
 
Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.

Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM 😄
Huyo jpm hakugawa nyumba kwa mahawara?
Hakupiga 1.5 trilioni?
 
Tunataka jiji lipendeze hasa maeneo prime.
Hatuwezi kuacha mabanda ya mkoloni yaendelee kuwepo ambayo 75% wanaishi watu wenye uraia zaidi ya mmoja.
Kwanini na wao wasijenge nyumba za kudumu wakaishi kama kina kikwete, magufuli, mkapa nk amba wana nyumba zao.
Watu wanaishi kiujanja ujanja tu hela wanaenda kujenga canada, dubai na marekani.
Hapana hapana
Huwezi kuziacha nyumba za ovyo ktkati ya prime areas, haiwezekani.
Kwa mfano angetokea mzee mmoja kariakoo ana heka tano anafuga mbuzi hataki kuuza eneo ingekuwaje?
 
Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.

Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM [emoji1]
Si mlisema mnapindua yote aliyofanya JPM. Huyu jamaa anajifanya yeye mtendaji sana kuliko mtu yyt nchini. Yuko na yule mapurupuru. Kuna yule mzee Kinainai alituaminisha kwamba yeye kachoka sana, si mmeona karudi? Kilichofanyika ni kupindua meza ya JPM, hili tutakuja kulijutia sana. Hayo ndo matokeo, wanataka kuiga mambo ya wazungu, eti prime area, mbona hatuigi kulipana mishahara minono? Si waanzishe miji mipya! Wanataka wavunje wajenge apartments halafu uambiwe zinauzwa kwa milioni 520 tu!!! RIP JPM
 
Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.

Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.

Kama hela kila kitu basi sasa hivi kusingekuwa na nyumba za ovyo Mikocheni, Msasani, Tetegeta, Kariakoo, Ilala na prime areas zingine za bongo.

Kila mwenye nyumba tokea miaka ya 80 isiyoendana na nyumba zinazojengwa leo maeneo hayo sasa hivi ingekuwa keshahama kitambo kwa kuuza.

Uwezi kunyanyasa watu kwa sababu eneo ni prime na serikali ina miliki nyumba kwa hivyo vunja tu.

Juzi raisi Samia katoka kwenye msiba uingereza eneo alilopanda basi maeneo ya ‘Marble Arch’ mbele kidogo tu ‘Oxford Street’ sidhani kama kuna prime area duniani kama hapo (labda Tokyo) na kuna council flats zilijengwa zamani. Safari yake ya mile mbili kufika msibani mpaka Westminster njia nzima ina sehemu kuna nyumba za serikali in short ‘west end’ yote ina maeneo yana council flats ambazo ingelikuwa ni matakwa ya matajiri tu wangeshanunua zote na kuzivunja. Lakini hata kwa nchi za mabeberu it’s immoral and inhumane uwezi fanya ivyo.

Na ndio sera inayofanya watu matajiri watafute maeneo mengine ya kuendeleza na kutengeneza future prime areas.

Ni hivi huyu Nehemia hana uwezo na nafasi anayopewa hapo NHC alianza Tibaijuka kumfunga speed governor alizuia huu mpango alipokuwa waziri, Lukuvi nae akamfunga tena speed governor kwenye kuwapandishia kodi wapangaji kwa asilimia 200% na kumtaka aache tena kupandisha kodi ovyo (hizo zilikuwa zama za J.K) na Magufuli ndio akamtibua kabisa kwa kutaka kuendelea serikali kumpatia dhamana ya mikopo ambayo inaishia kuhudumiwa na walipa kodi badala ya miradi anayojenga.

Huyo mtu hana uwezo wa kufanya miradi ya kibiashara inayohitaji mbinu anataka vitu rahisi tu kutekelezeka.

Hiyo sera inaenda waumiza watu kwa sababu ambazo hazina msingi wa kibiashara ya shirika la umma ata kidogo.
Huyu mtu magufuli alimtimua kwa kuona sera anayotumia ni ya kuwafaidisha matajiri kwa gharama ya umma. Wala haiendani na sera ya taifa ya makazi kwa wananchi wa kawaida inayolitaka shirikaka la nyumba kutekekeleza.
Mara magufuli alipokufa na mafisadi kusherehekea walimshairi mama awarudishe wote aliowatimua magufuli. Ndio maana wengi wana shaka na mwelekeo wa samia maana anawakumbatia wenye mwelekeo wa maslahi binafsi.
 
Hiyo imeshaonekana ni fursa ya upigaji, hao watu kama wana pesa wakaanzishe miji mipya na siyo kuja na ujanja ujanja kupora maeneo ya wanyonge kwa kisingizio kwamba hawana uwezo wa kuyaendeleza.
Zinataka kutofautishwa sehemu za mabwana na watwana !! Mchechu from North ??!!
 
Si mlisema mnapindua yote aliyofanya JPM. Huyu jamaa anajifanya yeye mtendaji sana kuliko mtu yyt nchini. Yuko na yule mapurupuru. Kuna yule mzee Kinainai alituaminisha kwamba yeye kachoka sana, si mmeona karudi? Kilichofanyika ni kupindua meza ya JPM, hili tutakuja kulijutia sana. Hayo ndo matokeo, wanataka kuiga mambo ya wazungu, eti prime area, mbona hatuigi kulipana mishahara minono? Si waanzishe miji mipya! Wanataka wavunje wajenge apartments halafu uambiwe zinauzwa kwa milioni 520 tu!!! RIP JPM
Hakika !
 
Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.

Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM 😄
Kumkomoa marehemu , hii TZ ina laana
 
Si mlisema mnapindua yote aliyofanya JPM. Huyu jamaa anajifanya yeye mtendaji sana kuliko mtu yyt nchini. Yuko na yule mapurupuru. Kuna yule mzee Kinainai alituaminisha kwamba yeye kachoka sana, si mmeona karudi? Kilichofanyika ni kupindua meza ya JPM, hili tutakuja kulijutia sana. Hayo ndo matokeo, wanataka kuiga mambo ya wazungu, eti prime area, mbona hatuigi kulipana mishahara minono? Si waanzishe miji mipya! Wanataka wavunje wajenge apartments halafu uambiwe zinauzwa kwa milioni 520 tu!!! RIP JPM
Nimeiona clip moja mwamba anasema mtakuja kusema kalikuwepo kamagufuli !! RIP mwamba alikuwa anajua !!
 
Yaani sana baraza la mawaziri linakaa kabisa linasema sawa.

Tibaijuka sijui kwa sababu alishakuwa mkuu wa UN makazi akaona ubovu wa sera hii aliizuia alipokuwa waziri.

It’s just immoral isitoshe unapotoa watu kuna fidia za ku walipa kwanza na allocations za makazi pale ambapo lazima uvunje jengo.
Waende mahakamani aisee..
 
Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.

Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Naunga mkono sera hii, kuna majengo ya serikali yaliyopo kwenye very prime area ila hali za majengo hayo ni pathetic!, hayakarabatiki, kilichobaki ni wapangaji wahamishwe, majengo yapigwe chini, vijengwe vitu vya maana vinavyoendana na eneo husika!.
Mchechu is very right!.
Usilinganishe jiji la Dar na London, Rome, Greece na Mji Mkongwe, zile ni ancient cities zenye majengo ya zamani yanayohifadhiwa!, tena kusema ukweli hata kuijenga Ikulu yetu ya Chamwino kwa ramani ya Ikulu ya Magogoni ni ... tuu!, tulipaswa kujenga an ultra modern structure sio ule mjengo wa kizamani wa Kiarabu uliojengwa pale Magogoni na Sultan of Zanzibar, Wajerumani wakataifisha, Waingereza wakakarabati, sisi Watanzania wa leo tunaiga mjengo wa karne iliyopita!.
Ushamba mwingine... ni kazi kwel kwel!.

Tubadilikeni jameni tuwe na foward looking atitude, tuachane na backward thinking!.

Subiria 7-11 itakapo kamilika!, hata Kenyatta Drive bado kuna takataka nyingi tuu ambazo hazipaswi kuwa sea side or sea front!, Mchechu is very right ataibadili Tanzanian iwe kama Dubai, Doha Acapulco au Miami!.
By the way Mkuu Mayor Quimby ulibahatika kuiona hii kitu?
Bila watu kama Mchechu, who can dare, kitu kama hii inawezekana vipi?
P
 
Back
Top Bottom