Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndo hapo sasa! Yani mwendazake awe na ushahidi dhidi yako alafu akuache na ufedhuli wake ule??Majungu tu.Mbona hakushitakiwa mahakamani kwa ufisadi?
Akikujibu nitaggNehemia alichukua NHC ilikua na mtaji kias gani na madeni kiasi gani na mpaka anadondoka mtaji ulikua kiasi gani
Mkuu Nehemia alikuwa na backup ya JK hila alianzishiwa mziki na Tibaijuka kuhusu kuongeza kodi.Mkuu kilatha ongeza sauti tumekuelewa sana, je hapo waziri mwenye dhamana ya ardhi ni kwanini aliachwa tuu haya yote hakuyajua. Hii fact checking yako inakumbushia Ceo wa Precision air mmoja alitolewa Kenya alikuwa anapika data kuonesha shirika linaenda vizuri kumbe uhalisia haukuwa mzuri sana. Hi ni tabia ya ma ceo kuwa na ujanja ujanja mwingi na kuwaweka sawa mpaka wabunge walikuwa wakionge kuhusu NHC ni kusifia tuu.
Lakini story yako ya NHc ni sawa na reality ya ATCL. Madeni makubwa kuliko faida. Na wasipokuwa makini Tanesco litazidi kuelekea upande huohuo kwa team hii iliochaguliwa na decision za kisiasa.
Upigaji gani?? Naona mnazidi kujifariji na stori za kutunga Chato gangUpigaji wa kwenye gesi utarudi bila shida chini ya Madam Chief.
una koneksheni ?Aisee, ngoja na mimi nijiweke sawa kula mema ya nchi. Ndani ya miaka mitano hii nisipotengeneza tubilioni kadhaa, alaaniwe aliyeniroga.
Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!Mkuu Nehemia alikuwa na backup ya JK hila alianzishiwa mziki na Tibaijuka kuhusu kuongeza kodi.
Alikuwa akikutana na mziki huo anazindua mradi anamualika JK anamuonyesha migorofa aliyojenga. JK anasifia Dar imependeza asikii wala aambiwi kwa huyo mtu.
Sasa kama wewe waziri utafanya nini wakati boss anasifia?
Likaja sakata la escrow likaindoka na Tibaijuka, ardhi akaingia Lukuvi kitu cha kwanza alipiga stop rent hike na kukagua miradi yao.
Jamaa wazushi hao wakaleta hadithi za miradi yao ya Anna na Sifu kuuza nyumba zote, sijui wameingia mkataba na mabenki gani kuuza mortage za 18% plus. Na watu humu kumsifia jamaa ana miakili wakati common sense says ni hadithi tupu.
Kwa ufupi you understand how the government used to work kipindi cha Magufuli. Ila mawaziri walijaribu hasa Tibaijuka na hata Lukuvi.
Alipoingia Magufuli kwakuwa yeye ni mtu wa kufuatilia baada ya kuona hayo madeni yenyewe serikali ndio inalipa sasa ana faida gani ndio maana akamtimua bila ya kujali miradi iliyo njiani.
Huko ATCL upuuzi unaondelea ndio usiseme kama ilivyo kwa JK na NHC, ATCL na Magufuli ndio ovyo kweli kweli.
Be seriousMagufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
Tumia data, ata kama uwezi pata latest financial statement za NHC. Their three old financial statement zinapatikana kwenye website yao.Acha kujiaibisha na chuki zako kwa kikwete! Na Ndo mana mnazidi kuonekana washamba! Kazi kudharau tu wanawake! Mnamdharau Samia kana kwamba yeye hana akili au hawezi kuongoza wajinga nyie.
Samia anachagua timu yake yeye anayoona inafaa kwa utashi wake na ushauri anaopewa na vyombo!
Huyo Magufuli unayemsifu hapa ndo ameiua National Housing. Tangu aingie miradi yote ya kawe, Morroco na kugamboni ilisimama na kufa kisa chuki zake na kijana mchechu!
Yeye alipenda kujenga na kupeleka miradi chato tena bila bajeti! Hela alikuwa anataka kuchukua kwenye mashirika na Ndo mana hakuendana na watu wenye misimamo na akili Kama Prof Assad, Nehemia Mchechu na Mafuru!
Pamoja na uozo wa Jiwe, ila mchechu alikuwa hafai kuendelea hapo NHC.Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!
Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??
Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?
Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.
Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
Si deal na uropokaji nimekuwekea latest income statement ya shirika available for kuonyesha what is their operation status ambayo ni uozo.Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!
Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??
Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?
Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.
Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
Hii ni term ya tatu ya JKMtaongea sana chato gang
Hizo financial statements zina nini cha ajabu?Be serious
Tumia data, ata kama uwezi pata latest financial statement za NHC. Their three old financial statement zinapatikana kwenye website yao.
Chuki zangu kwa JK sitojibu labda kama mgeni JF, kulikuwa akukaliki humu ukimnanga JK alipokuwa raisi.
Kila zama na nyakati zake, apumzike tu; nchi yetu ni maskini inahitaji mtu sahihi.
Ata mama anaweza akirudi kwenye mstari.
Porojo gani? Wewe unayemuhusisha JK kumteulia Samia watu umeweka ushahidi humu?? Au nazo ni porojo???Si deal na uropokaji nimekuwekea latest income statement ya shirika available for kuonyesha what is their operation status ambayo ni uozo.
Sasa kama una hoja ya kibiashara lete data tuziongelee sio porojo za kitoto na mambo ya kufikirika kichwani kwako.
Ila we ni mnafki sana, thread yako hii kipindi hiko.Hizo financial statements zina nini cha ajabu?
Nimekuuliza Nehemia ameikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni kiasi gani?
Unatufanya sie wajinga sio? Sote tunajua hali ya NHC kipindi Nehemia anaingia ilikuwaje na sote tunajua yeye ndo at least alianza kufanya miradi mipya.
Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing mkamtengenezea zengwe na kumuondoa Ila hamkuwahi kupata ushahidi dhidi yake kumpeleka mahakamani!
Hakuna kipindi uchumi wa nchi hii ulikwenda vizuri Kama kipindi cha JK. Na ndo mana hata sie kuingia katika uchumi wa kati kipindi cha Magufuli ilitokana na strong performance ya uchumi kipindi cha JK.
Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote!
Samia ndo Rais, vyombo ni vyake na ana uwezo ya kufanya vetting na kupata ukweli wa mtu yeyote nchi hii. Anafanya maamuzi Kwa utashi wake na Kama anavyoshauriwa na vyombo vyake!
Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!
Fuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?Ila we ni mnafki sana, thread yako hii kipindi hiko.
Mwaka mmoja wa rais Magufuli: Kwanini namuona ni rais bora zaidi na changamoto zinazomkabili
Amani iwe nanyi wadau; Kwanza kabisa napenda kumpongeza kwa dhati sana ndugu John Pombe Magufuli kwa uongozi wake makini sana tangu alipochukua uongozi wa nchi hadi sasa ambapo anatimiza mwaka mmoja wa uongozi wake. Kusema kweli inatupa moyo tuliokuwa tukimtetea yeye na chama chake kipindi cha...www.jamiiforums.com
Jifurahishe tu!Hii ni term ya tatu ya JK
Nimesoma baadhi ya thread zako miaka ya nyuma, na nimegunduaFuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?
Nilitofautiana naye kwenye maeneo mengi sana na nilianza kumpinga akiwa bado madarakani
Magufuli lazima ageuke alale kifudifudi huko aliko
Wewe ni msahalifu sana,Mchechu kapigiwa kelele sana humu hata kabla ya jiwe,na Magufuli hakumtoa mara moja alikaa naye sana nadhani zaidi ya mwakaKwanini hakushtakiwa nawe ni miongoni mwa watu mliomeza porojo za jiwe bila kufanya utafiti
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Ndugu sakata la NHC wenzako tumeanza kutabiri tangia Luhanjo mnyalukolo wa Ikulu alipompendekeza mtu wa kwao.Porojo gani? Wewe unayemuhusisha JK kumteulia Samia watu umeweka ushahidi humu?? Au nazo ni porojo???
Na akajitahidi kumuondoa Mkapa,Kikwete ni mtu mbaya sana kwa taifa hiliNchi ipo kwenye ‘catch 22’
Mama amenogewa na nafasi ya uraisi ila hana uwezo wa kuendesha nchi wala awezi mudu mikiki ya kubakia come 2025.
JK ana mbinu za kupindua meza ndani ya CCM hii ni situation mpya no one knows what to do.
JK anafahamu mbinu za kukamata madaraka which is good kumlinda mama asitishiwe nyau.
Tatizo lipo wapi kwa sababu mama hana dira JK anaamini deep down he was a good president and his measures were necessary for the nation prosperity.
So with good intentions JK anaamini mama atatimiza his unfinished business.
Yaani aoni ubaya wake, wakati JK finances zinampiga chenga sana. Yeye akiona miradi imeanzishwa hayo
kwake ni mafanikio bila ya kuelewa long term debt commitment za nchi na kama hiyo miradi imefanyiwa appropriate appraisal; ndio kama anavyolilia Bagamoyo port na gas Mtwara.
Sasa kwenye kichwa chake watu kama Nehemia walikuwa na akili sana akiona majengo waliojenga as far as JK is concerned with his limited finance understandings that is progress.
Ngoja sasa aende ofisi ya DMO wizara ya fedha wamuelezee gharama ya hiyo miradi na yeye kuiwekea guarantee wakati aijilipi kwa walipa kodi na madhara yake kwa national debt (we do know kwenye deni la taifa almost 10 trillioni ni deni la TANESCO na NHC).
Bado ujagusia matumizi mabaya ya cash cow za NHS Nehemia alivyokuwa anazitumia vibaya kuficha his bad investment kwenye cash flow kwa kuwatupia kodi za nyongeza wapangaji kwa madeni wasiohusika nayo ili kuongeza mapato ya kuhimili madeni ya bad investment alizofanya.
Hizi ndio sababu wengine tulionya mama kumtumia mtu kama JK anajichimbia shimo; kwa sababu huyo mtu aoni makosa yake.
JK naively believes he was the best president; na afanyi hivyo kwa nia mbaya it’s just psychology he actually believes he was doing the right thing.
Kuna watu inabidi wamrudishe huyu mtu kwenye dunia ya ukweli. He wasn’t a good president and he made more bad decisions than good ones; and it’s time he should step away for good. Huyu mtu ni tatizo kwa Tanzania.