Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Hao labda walisomea hizo nafasi! Inawezekana Wana vyeti, Kama vile watu wanavyosomea uwaziri au ukuu wa wilaya na mkoa.
 
Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Hizo syo nafasi za utumishi wa UMMA
 
Mchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.

Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha...?

Fungeni mikanda,ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
Washacheki fursa zao

Hivi hakunaga watu wapya wenye maujuzi ya kuisadiia hii nchi Hadi kurudisha watu waliotimuliwa kwa au wenye rekodi za utata
 
Kuna falsafa Fulani ya msoga king huwa naikubali sana "if necessary use them,once the mission is finished dump them and don't look backward ,just enjoy your triumph"

[emoji1787][emoji1787]
 
He was like them in terms of upigaji

But to each in his own ways
 
Binafsi nampongeza sana Januari Makamba kwa nafasi aliyoipata. Makamba anahekima ya uongozi na nilishangaa sana kuona kipaji kama hiki kikitaka kupotezwa.
Makamba piga kazi na ninaimani Siku sio mingi watanzania wataukubali uwezo wako na kuona ata hiyo nafasi uliyonayo kwa sasa ni ndogo.
 
Endelea kuimba porojo za business acumen, utapururwa mpake uwe kama chapati iliyokosa mafuta
 
Kampuni za mfukoni soon zitakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…