Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Ukitoa kufufua ATCL, Magufuli amefanya nini ambacho hakikuweza kufanywa na wengine??

Na ATCL yenyewe ni hasara tupu..
Kajenga Dodoma ambayo ilimshinda nyerere, kajenga Bwawa la kuzalisha umeme lililo shindikana tangu enzi za nyerere, kajenga Sgr tena kaanza na ela za ndani, Kikwete kitu ambacho kilimshinda Mpaka shirika lilikuwa limejifia,Kajenga masoko ya madini kila kanda pamoja na mitambo ya kuchenjua madini Kitu kilichozishinda serikali zilizopita,Kangalie stendi ya mbezi,angalia masoko ya kisasa yalivyojengwa kipindi cha Magufuri,hapo utujaenda kwenye miundombinu ya barabara na flyover,tena hiyo kazi kwa miaka 5 tu,ebu Wewe tueleze Kikwete kafanya nini kwa miaka kumi aliyokaa madarakani
 
Ccm tujitazeme Sana na Hawa watu mnaowarudisha, wananchi sio wajinga wanakumbuka, Amina nawaambia tutarudi ile ccm ukivaa kijani unazomewa mtaani. Yetu macho
 
Kajenga nini Dodoma? Jengo la Bunge alijenga yeye? Majengo ya serikali yaliyokuwepo kabla yake alijenga yeye?

Nani kakwambia SGR alianza kujenga kwa fedha za ndani? Tanzania hatukuwa na mabwawa ya umeme?

Hizo stand na miundombinu iliyokuwepo kabla yake alijenga yeye?

Acheni kutuona Watanzania wajinga kama mlivyo nyie! Nchi hii imejengwa tangu inaanza na yeye kaingia madarakani ameikuta nchi imejengwa sana tu!
 
Ccm tujitazeme Sana na Hawa watu mnaowarudisha, wananchi sio wajinga wanakumbuka, Amina nawaambia tutarudi ile ccm ukivaa kijani unazomewa mtaani. Yetu macho
Wanakumbuka nini? Wana shida gani waliorudishwa?
 
Ww huwa ni ndumilakuwili kuna mtu ameuquate uzi wako kule juu......
ona aibu japo kidogo.......
fanya kama vile unapita huku umeziba uso
Wanaonijua wanajua nilipoanza na nilipo! Kila mtu hapa anajua nilipingana na Magufuli kwa Sera zake za kuua watu na kuua uchumi hasa sekta binafsi . Labda uwe mgeni wa JF ndo utakuwa hunijui!
 
Wewe ni "Mnafiki" Sana, yale yale ya kipindi cha Magufuli alisifiwa na wasaidizi wake akawa na wapambe kila mahali akajawa na sifa bila kujua kwanini walimsifia, kitendo kile kilimfanya awachukie waliomkosoa leo hatuko naye manafiki yanaanza tena wewe ukiwemo.

Teuziiiiiii teuuuuuuziii zitawaponza !!
Nani kakwambia Mimi ninataka uteuzi? Huwezi nijua Mimi ni nani na Ndo mana ninatumia fake is humu!

Nina shughuli zangu za halali zinazoniingizia kipato tena kizuri tu! Sina haja na teuzi yeyote ile wala nafasi za kisiasa!
 
Hiyo CCM haikuwahi kuondoka, jiwe aliweza kutumia dola kutisha watu na kuwanyamazisha.
Ccm tujitazeme Sana na Hawa watu mnaowarudisha, wananchi sio wajinga wanakumbuka, Amina nawaambia tutarudi ile ccm ukivaa kijani unazomewa mtaani. Yetu macho
 
Muda sio mrefu genge lako linalokupa ulaji kwa sasa mtaturudisha enzi za JK za majenereta na dili za mafuta ya umeme ambazo jiwe alizivuruga.
Sahau ilo! Shirika linaenda kufanya kazi kiufanisi zaidi!

Endeleeni kupiga ramli baada ya kukatiwa mirija yenu ya kupiga kupitia miradi ya REA na baada ya kufurumushwa mkitaka kum sabotage Mama Samia
 
Uko sahihi, sahihi kabisa, lkn kuna "kuoa" mke ambaye hujamchagua ila umechaguliwa na wazazi. Kwa Kiwete alikuwa ni "mke" aliyemchagua, kwa Magufuli alikuwa ni "mke" wa kuchaguliwa na sasa kwa Samia ni "mke" wa kujichagulia 😀 😀 😀 😀 😀
Endeleeni tu kuleta nadharia zenu! Nchi inasonga mbele na kazi zinaendelea
 
Kajenga nini Dodoma? Jengo la Bunge alijenga yeye? Majengo ya serikali yaliyokuwepo kabla yake alijenga yeye?

Nani kakwambia SGR alianza kujenga kwa fedha za ndani? Tanzania hatukuwa na mabwawa ya umeme?

Hizo stand na miundombinu iliyokuwepo kabla yake alijenga yeye?

Acheni kutuona Watanzania wajinga kama mlivyo nyie! Nchi hii imejengwa tangu inaanza na yeye kaingia madarakani ameikuta nchi imejengwa sana tu!
Kama Dodoma kilikuwa kinashinda serikali kuamia Dodoma mpaka Magufuri alipoingia madarakani?kama unabisha mtafute mzee Mwinyi alisha kuwa Rais wa nchi hii, alisema Magufuri alifanya mambo makubwa yaliyowashinda yeye na wenzake kwa miaka 40,tena Magufuri kayafanya kwa miaka 5,tafuta You-torbe ukasikie mwenyewe
 
Kuhamia Dodoma nako ni jambo kubwa?

Magufuli amekuta Dodoma kuna ikulu, miundombinu na ofisi za serikali zikiwepo! Hakuikuta Dodoma jangwa bila kitu chochote!

Ameikuta Dodoma ina chuo kikuu ambapo ofisi za serikali zilianzia pale! Chuo alijenga yeye?

Acheni kuwapa watu sifa kupindukia na ndo mana Mungu akawaadhibu!
 
Jakaya alifika pazuri wapi? Pa kuiba hela za umma? Wewe una akili kweli?
Wewe ndio huna akili kabisa. Miaka kumi ya Kikwete uchumi wa Tanzania ulikuwa unakuwa kwa spidi ya asilimia 7! Aliajiri kila mwaka na kupanndisha mishahara. Barabara za lami nchi nzima na mahusiano yetu na nchi karibu zote duniani yalikuwa mazuri mno.
 
Back
Top Bottom