Kuna watu hawajapenda nandy alivyoolewa,,kama vile wangeolewa wao,
Inashangaza hasa wanaume[emoji23]
Wanandoa ndo wanaongoza kwa maambukizi ya ukimwiUkimwi unaua vijana oeni
Wanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita naonililiwaza hili kuwa pesa ni mwanaharam yani nandy alienda kwa ruge kimaslahi ili nyota isianguke maana clouds ndio waliomtoa kimuziki
sometime baadhi ya wanawake linapokuja swala la kufight kutoka kimaisha huwa wanaweza kukukimbia hata kama wanakupenda vipi
Duuh!!!Wanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita nao
Nandy. Linah. Mwasiti. Mke wa romy jons zamaradi. Jay dee.. ray c..kaby. .jamaa kachafua wote..
Na wote wanabugia karanga
Ndio maana ya Mungu..Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.
Na muda huohuo.. Billnas nyimbo zilipata airtime sana mawinguni.Fau na Will hawajawahi kuachana, Ruge alikuwa by the way
Kwa hiyo Ruge alikuwaga anagonga hapo? Duh kuna watu wana roho ngumu sanaHii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.
Hivi Nandy na Nenga ni yupi Mkubwa?Unaweza kuwa unakula leo lkn unakula "makombo ya upendo".
Nenga hakupendwa Ila basi tu Nandy kaona kilometa zinasonga
Zosipohamia kwako zinahamia kwa Mwanao/WanaoHivi ukioa mtu ambae kwao hela zipo..zinahamiaje kwako wewe ulieoa?
Daah" kwaiyo Nenga nae mtuhumiwaWanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita nao
Nandy. Linah. Mwasiti. Mke wa romy jons zamaradi. Jay dee.. ray c..kaby. .jamaa kachafua wote..
Na wote wanabugia karanga
Ruge ana mtoto mkubwa anamzidi Nandi ana miaka 30+ so nitamaa za Ruge ila Sio true love nenga huyo demu anamuelewa sana
Mimi nina Swali Moja tu Kwao Wanandoa hawa je, walipima VVU na Kujiridhisha 100% na Matokeo ya Vipimo? Nimesikitika sana, ila naomba tu niishie hapa tafadhali.Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.
Nimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?Shida ni kwamba Wille Hela Hana na Faustina Charles kwao Hela Ipo so ni Kama William kaolewa Yeye
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi pia nimechoka hoii,wanaosema Nandy kwao Kuna hela ipi labda?Nimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?