Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

nililiwaza hili kuwa pesa ni mwanaharam yani nandy alienda kwa ruge kimaslahi ili nyota isianguke maana clouds ndio waliomtoa kimuziki

sometime baadhi ya wanawake linapokuja swala la kufight kutoka kimaisha huwa wanaweza kukukimbia hata kama wanakupenda vipi
Wanawake waliopita THT karibia 80% mwongoza njia amepita nao
Nandy. Linah. Mwasiti. Mke wa romy jons zamaradi. Jay dee.. ray c..kaby. .jamaa kachafua wote..

Na wote wanabugia karanga
 
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.

Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.

Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.

Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.

Ndio maana ya Mungu..
 
Kwa hiyo Ruge alikuwaga anagonga hapo? Duh kuna watu wana roho ngumu sana
 
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.

Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.

Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.

Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.

Mimi nina Swali Moja tu Kwao Wanandoa hawa je, walipima VVU na Kujiridhisha 100% na Matokeo ya Vipimo? Nimesikitika sana, ila naomba tu niishie hapa tafadhali.
 
Shida ni kwamba Wille Hela Hana na Faustina Charles kwao Hela Ipo so ni Kama William kaolewa Yeye

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeona ona sana wadau wakisema Nandi katoka familia yenye hela! Ebu fafanueni, ni Nandi yupi, huyu Nandela wa Tabata, baba'ake mwenye shughuli yake kabla ya kufika Mawenzi pale? Nandi yule akiuza duka au?
 
Mi pia nimechoka hoii,wanaosema Nandy kwao Kuna hela ipi labda?

Pesa ya Nandy imekuja baada ya Nandy kua mwanamuziki na ruge kuwajengea wazazi wa Nandy nadhani mlandizi hukoo...

Hii nchi bwana watu wanalishana uongooo[emoji16][emoji4]
 
Back
Top Bottom